lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,043
32,691
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.

CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa yale. Lakini Wana CCM hawawezi kufurahia Sabaya Kufungwa na hawawezi kufurahia Mbowe kushinda Kesi.

Kesi ya Mbowe ikifanyiwa masihara inaenda kuiaibisha serikali na kumpaisha Mbowe kimataifa.

Kesi ya Mbowe kama akifungwa itaenda kumfanya Mbowe kuwa mmoja ya wafungwa maarufu duniani kama Nelson Mandela, Mahatma Ghadi, Martin Luther King, Ken Saro Wiwa na Kenneth Kaunda.

Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.

Kesi hii imeanza kuvuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

Watu hawafurahi Sabaya Kufungwa kwa sababu hawampendi, hapana bali ni kwa sababu kafanya uhalifu kweli na watu wanajua. Kama angekuwa hajafanya makosa kweli wangesikitika tu

Watu hawasikitiki Mbowe kuwekwa mahabusu au kushitakiwa kwa sababu wanampenda, hapana, kama angekuwa amefanya makosa kweli wangefurahi tu kushitakiwa na wangefurahi akihukumiwa kifungo.

Hao Mabalozi kuja mahakamani Kesi ya Mbowe sio wajinga wala sio kwamba wanampenda sana Mbowe, hapana, bali wanakuja kushuhudia jinsi Mbowe anavyoonewa au jinsi gani maamuzi yatakavyofanyika.

Jamani ee!

Maamuzi ya Kesi ya Mbowe yatakuwa na athari kwa nchi yetu, Sisi Tanzania Kila siku tunasemo wetu kuwa tunajenga nchi au tunajenga Uchumi.

Tunaweza kuona ni masihara lakini kimasihara tu tunaweza kuona nchi yetu inatengwa kidogokidogo.

Kama tunabisha tukumbuke Zimbabwe iko wapi?

Kuwapoteza wadau wa maendeleo kama Denmark sio jambo Dogo.
kutengwa hakuji mara moja, kunakuaja kidogo kidogo na kukufanyia kitendo cha Kujenga Uchumi kuwe kigumu.

Ushahidi wa ujambazi wa Sabaya hauna mashaka, Lakini ushahidi wa Kesi ya Mbowe ina mashaka Sana.

Na kama Mahakama itafuata haki kwenye Kesi ya Mbowe Basi wale mashahidi na serikali wanastahili kufunguliwa mashitaka kwa kutoa ushahidi wa uongo na wale askari waliowatesha makomandoo wetu wanastahili kushitakiwa.

Tukisema Dunia mzima inafuatilia Kesi ya Mbowe tunamaanisha hivi.

Hapa Tanzania tuna mabalozi wa nchi nyingi Sana,mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,wapo mabalozi wanakuja mahakamani kufuatila Kesi hii na wale wasiokuja wanaifuatilia kwa vianzio vyoa wanavyovijua.

Kuna vyombo vya habari vya kidunia kama CMN, BBC,DW,VOA,Aljazeera ntc,Hawa wote hawana habari na Sabaya,bali Wana habari na Mbowe.

Sababu juu ni Sabaya kafanya makosa kweli na Mbowe hajafanya makosa kweli.

Samia anahujumiwa.
Mbowe sio Gaidi.
 
Kesi ya msingi haiwezi kusikilizwa kamwe maana madudu ya polisi na serikali yatazidi kumwagika hadharani.

Tena huenda Sabaya huyuhuyu alishiriki kwenye mchakato wa kuwatesa akina Adamoo.

Kumbuka mashahidi wa upande wa utetezi Sabaya yumo pia, na akina IGP.

Yajayo yanafurahisha sana.
 
Naona manazi wanaleta ushabiki maandazi na kutishia nyau wakidhani hatujui makosa ya Sabaya, na mashitaka ya Mbowe. Kesi ya Mbowe ni matokeo ya siasa chafu za Magufuli na genge lake la kina Sabaya, Makonda, vyombo vya dola nk. Yaani hiyo mahakama itoe hukumu kwa Mbowe kwa kutaka kubalance au vinginevyo, tunajua kabisa Sabaya alikuwa ni kiongozi muovu aliyepewa kiburi cha madaraka na Magufuli, na Mbowe ni muhanga wa hizo siasa chafu. Ni juu ya mahakama kutoa hukumu kwa haki. Tena mahakama inatakiwa iwaonye viongozi walevi wa madaraka wa kubambikia watu wema kesi.
 
Do na nyie magufuli anahusikaje hapo mkuu .kesi imefunguliwa kipindi cha mama yetu mpendwa lakini kila saa magufuli khaa..
 
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga,na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.

CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa,na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alfanya makosa yale.
Lakini Wana CCM hawawezi kufurahia Sabaya Kufungwa na hawawezi kufurahia Mbowe kushinda Kesi.

Kesi ya Mbowe ikifanyiwa masihara inaenda kuiaibisha serikali na kumpaisha Mbowe kimataifa.

Kesi ya Mbowe kama akifungwa itaenda kumfanya Mbowe kuwa mmoja ya wafungwa maarufu duniani kama Nelson Mandela,Mahatma Ghadi,Martin Luther King,Ken Saro Wiwa na Kenneth Kaunda.

Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.

Kesi hii imeanza kivuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

Watu hawafurahi Sabaya Kufungwa kwa sababu hawampendi,hapana,bali ni kwa sababu kafanya uhalifu kweli na watu wanajua.
Kama angekua hajafanya makosa kweli wangesikitika tu

Watu hawasikitiki Mbowe kuwekwa mahabusu au kushitakiwa kwa sababu wanampenda,hapana,kama angekua amefanya makosa kweli wangefurahi tu kushitakiwa na wangefurahi akihukumiwa kifungo.

Hao Mabalozi kuja mahakamani Kesi ya Mbowe sio wajinga,wala sio kwamba wanampenda sana Mbowe,hapana,bali wanakuja kushuhudia jinsi Mbowe anavyoonewa au jinsi gani maamuzi yatakavyofanyika.

Jamani ee!
Maamuzi ya Kesi ya Mbowe yatakua na athari kwa nchi yetu,
Sisi Tanzania Kila siku tunasemo wetu kuwa tunajenga nchi,au tunajenga Uchumi.

Tunaweza kuona ni masihara lakini kimasihara tu tunaweza kuona nchi yetu inatengwa kidogokidogo.

Kama tunabisha tukumbuke Zimbabwe iko wapi?

Kuwapoteza wadau wa maendeleo kama Denmark sio jambo Dogo.
kutengwa hakuji mara moja,kunakuaja kidogokidogo na kukufanyia kitendo cha Kujenga Uchumi kuwe kigumu.

Ushahidi wa ujambazi wa Sabaya hauna mashaka,
Lakini ushahidi wa Kesi ya Mbowe ina mashaka Sana.

Na kama Mahakama itafuata haki kwenye Kesi ya Mbowe Basi wale mashahidi na serikali wanastahili kufunguliwa mashitaka kwa kutoa ushahidi wa uongo na wale askari waliowatesha makomandoo wetu wanastahili kushitakiwa.

Tukisema Dunia mzima inafuatilia Kesi ya Mbowe tunamaanisha hivi.

Hapa Tanzania tuna mabalozi wa nchi nyingi Sana,mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,wapo mabalozi wanakuja mahakamani kufuatila Kesi hii na wale wasiokuja wanaifuatilia kwa vianzio vyoa wanavyovijua.

Kuna vyombo vya habari vya kidunia kama CMN, BBC,DW,VOA,Aljazeera ntc,Hawa wote hawana habari na Sabaya,bali Wana habari na Mbowe.
Sababu juu ni Sabaya kafanya makosa kweli na Mbowe hajafanya makosa kweli.

Samia anahujumiwa.
Mbowe sio Gaidi.
kesi ya mbowe ni ya moto. Kuendelea ngumu kuifuta ngumu
 
Naona manazi wanaleta ushabiki maandazi na kutishia nyau wakidhani hatujui makosa ya Sabaya, na mashitaka ya Mbowe. Kesi ya Mbowe ni matokeo ya siasa chafu za Magufuli na genge lake la kina Sabaya, Makonda, vyombo vya dola nk. Yaani hiyo mahakama itoe hukumu kwa Mbowe kwa kutaka kubalance au vinginevyo, tunajua kabisa Sabaya alikuwa ni kiongozi muovu aliyepewa kiburi cha madaraka na Magufuli, na Mbowe ni muhanga wa hizo siasa chafu. Ni juu ya mahakama kutoa hukumu kwa haki. Tena mahakama inatakiwa iwaonye viongozi walevi wa madaraka wa kubambikia watu wema kesi.
Mbowe yuko huru kwa Jina la Yesu
 
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga,na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.

CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa,na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alfanya makosa yale.
Lakini Wana CCM hawawezi kufurahia Sabaya Kufungwa na hawawezi kufurahia Mbowe kushinda Kesi.

Kesi ya Mbowe ikifanyiwa masihara inaenda kuiaibisha serikali na kumpaisha Mbowe kimataifa.

Kesi ya Mbowe kama akifungwa itaenda kumfanya Mbowe kuwa mmoja ya wafungwa maarufu duniani kama Nelson Mandela,Mahatma Ghadi,Martin Luther King,Ken Saro Wiwa na Kenneth Kaunda.

Ifahamike kwamba makosa ya Mbowe sio halisia.

Kesi hii imeanza kivuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

Watu hawafurahi Sabaya Kufungwa kwa sababu hawampendi,hapana,bali ni kwa sababu kafanya uhalifu kweli na watu wanajua.
Kama angekua hajafanya makosa kweli wangesikitika tu

Watu hawasikitiki Mbowe kuwekwa mahabusu au kushitakiwa kwa sababu wanampenda,hapana,kama angekua amefanya makosa kweli wangefurahi tu kushitakiwa na wangefurahi akihukumiwa kifungo.

Hao Mabalozi kuja mahakamani Kesi ya Mbowe sio wajinga,wala sio kwamba wanampenda sana Mbowe,hapana,bali wanakuja kushuhudia jinsi Mbowe anavyoonewa au jinsi gani maamuzi yatakavyofanyika.

Jamani ee!
Maamuzi ya Kesi ya Mbowe yatakua na athari kwa nchi yetu,
Sisi Tanzania Kila siku tunasemo wetu kuwa tunajenga nchi,au tunajenga Uchumi.

Tunaweza kuona ni masihara lakini kimasihara tu tunaweza kuona nchi yetu inatengwa kidogokidogo.

Kama tunabisha tukumbuke Zimbabwe iko wapi?

Kuwapoteza wadau wa maendeleo kama Denmark sio jambo Dogo.
kutengwa hakuji mara moja,kunakuaja kidogokidogo na kukufanyia kitendo cha Kujenga Uchumi kuwe kigumu.

Ushahidi wa ujambazi wa Sabaya hauna mashaka,
Lakini ushahidi wa Kesi ya Mbowe ina mashaka Sana.

Na kama Mahakama itafuata haki kwenye Kesi ya Mbowe Basi wale mashahidi na serikali wanastahili kufunguliwa mashitaka kwa kutoa ushahidi wa uongo na wale askari waliowatesha makomandoo wetu wanastahili kushitakiwa.

Tukisema Dunia mzima inafuatilia Kesi ya Mbowe tunamaanisha hivi.

Hapa Tanzania tuna mabalozi wa nchi nyingi Sana,mabalozi ni wawakilishi wa nchi zao,wapo mabalozi wanakuja mahakamani kufuatila Kesi hii na wale wasiokuja wanaifuatilia kwa vianzio vyoa wanavyovijua.

Kuna vyombo vya habari vya kidunia kama CMN, BBC,DW,VOA,Aljazeera ntc,Hawa wote hawana habari na Sabaya,bali Wana habari na Mbowe.
Sababu juu ni Sabaya kafanya makosa kweli na Mbowe hajafanya makosa kweli.

Samia anahujumiwa.
Mbowe sio Gaidi.

Ni wazi kuwa mahakama imeletwa "the benefit of doubt."

Kwamba harakati zote zimekuwa "scaled down" kiasi hiki, kuwa ni bure tu?

Kimya kingi kina mshindo mkuu!
 
Nakumbuka wakati Sabaya anakamatwa ule upande ulifurahia sana na kupongeza polisi na serikali kwa kusema polisi wanafanya kazi nzuri. Aikupita muda akakamatwa Yule na polisi wale wale na serikali hile hile tukasikia polisi wanaonea Yule na serikali haifai.

Leo Mahakama imemchapa mvua aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai miaka 30 tayari tumesikia wakisema mahakama imetenda haki na wakiongeza kusema kunawengine, na mimi nasema mahakama imetenda haki sasa ngoja tusubili kwa Yule mahakama itakapotenda haki itakuwaje. Watalalamika kuanzia Ulaya, Marekani kanisani na misikitini wakidai haki haijatendeka. Yaani mkuki kwa nguruwe ila kwao uchungu. Nimelipenda sana hili SILIzii nalifwatilia kwa ukaribu.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom