Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,884
Ikumbukwe huyu huyu rais ndo alitoa agizo fedha zote za taasisi za serikali zipelekwe BOT kwa kisingizio mabenki wanatumia fedha kufanyia biashara.
Madhara yake mzunguko wa fedha kila mtu anaona kuwa biashara hazifanyiki maana public expenditure hufanywa na serikali na si watu binafsi hakuna miradi ya maendeleo jamaaa kaweka fedha BOT na kuziweka kama mitaji nje ya nchi " serikali inafanya biashara" kupitia BOT ndio maana hakuna ajira maana hakuna cha kuwalipa wala hakuna malipo ya malimbikizo ya madeni kwa watumishi au taasisi zinazodai malimbikizo ya malipo. Bot pesa haipo.
Huyu bwana kasahau kuwa ilipitishwa sheria ya serikali kusaidiana na sekta binafsi kuimarisha utendaji na kukuza ajira nchini ila sasa ni serikali tu hao watu binafsi ni "wapiga dili"
Jana kaja na mpya kuwa baada ya kwanza kufail anasema fedha zote za seriakali zipitie benki anayoiita ya serikali lakini ni uwongo wa mchana:
Benki ya CRDB PLC
Danida wana 21%
Serikali ya Tanzania 13.7%
Zilizobaki ni watanzania na taasisi binafsi
Benki ya NMB PLC
Rabobank of Netherland 34.9%
Serikali ya Tanzania 30%
Zilizobaki watanzania na kampuni binafsi
Benki ya Posta
Serikali ya Tanzania 85.87
Zilizobaki ni taasisi za serikali zote
Benki ya NBC
Barclay's Africa group 55%
Serikali ya Tanzania 30%
Zilizobaki ni kampuni binafsi
TIB na Twiga ni 100% ni serikali
Nini kitatokea baada ya mawazo ya rais.
Benki zingine zitakopa pesa ili zikopeshe watanzania hivyo riba itaongezeka katika taasisi za fedha na gharama za uendeshaji wa akaunti kwa wateja zitapanda maradufu.
Tutarajie baadhi ya mabenki kupunguza wafanyakazi ili kujiendesha.
Maisha kuzidi kuwa magumu kwa kukosa mzunguko wa fedha na huduma kwa benki pendwa kuwa mbovu kwa kukosa ubunifu na kuwasikiliza wateja.
Mabenki yasiyopendwa na mkubwa kutojihusisha na shughuri za kijamii nao watasusia.
Cooperate tax na PAYE kushuka hivyo serikali kukosa kodi.
Serikali kuwaidisha zaidi Netherland kwani ndio wenye hisa nyingi zaidi.
Uchumi wa nchi kufa maana kwa lugha nyingine benki za biashara ndo zinaendesha uchumi wa fedha hivyo umasikini kushamili.
Sasa na kauli nyingine tenda zote zifanywe na serikali hivi anajua anachokisema au nimatamko tu? Ukiiwa private sector umeuwa uchumi wa nchi hivi anavyojisifia kuwa yuko serialini zaidi ya miaka 20 alikuwa anajifunza mini? Au kila kitu ni kukariri tu