Madhara ya kauli ya pinda yaanza kuonekana.

Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????
naunga mkono hoja hongera wana kidodi
 
Baada ya Waziri mkuu Mh.Pinda kuweka wazi wakuu wa wilaya na mikoa kufanya kazi za chama (ccm).Mkuu wa wilaya kilosa kata ya Ruaha ameshindwa kufungua zoezi la sasa baada ya kukosa watu.mpaka sasa vipo viti tu na walimu wachache ambao watahusika katika zoezi la sensa.wanananchi wanasema kwamba yeye amekuja kufanya kazi ya chama.source.mwenye nipo kwenye mkutano.

Hicho ndicho nilikuwa nahofia. Kauli ya Pinda inawafanya wakuu wa mikoa na wilaya kuchukuliwa kama viongozi wa ccm kwenye maeneo yao, na kwa bahati mbaya sana sidhani kama kuna kitu chochote anachoweza kufanya/kusema Pinda kubadilisha hili kosa.
 
kiukweli ruaha ni mahali pengine pa ukombozi watu wa hapa hawataki kuonewa kabisa hasahasa wakiwa na kamanda wao anayeshikwa na polisi kila baada ya muda kidogo kutokana na kuwatetemesha jamaa anaitwa maliwa ni kiboko ya chichiemu hapa ruaha
 
mchumba angu nae yupo kwenye sensa na kesho watakuwa pta na dc wa temeke yaani ninammind cjui ht nifanyeje?
 
Wafanye wasifanye, who cares! afterall wamekuwa wakifanya siku zote, DC wa Igunga is a case in point! lakini wakumbuke kwamba Kiendacho hurudi, when the chicken start coming home to roost; do not cry foul!

dats gud
 
Udhalimu una mwisho hata kama ukipewa majina gani ya kujificha. Mwisho wake ni aibu. Mwanadamu si wa kuchezea forever huwa anashtukia na kugeuza kibao sasa CCM wataipata fresh.
 
Back
Top Bottom