Madhara ya kauli ya pinda yaanza kuonekana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kauli ya pinda yaanza kuonekana.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.Busta, Aug 18, 2012.

 1. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baada ya Waziri mkuu Mh.Pinda kuweka wazi wakuu wa wilaya na mikoa kufanya kazi za chama (ccm).Mkuu wa wilaya kilosa kata ya Ruaha ameshindwa kufungua zoezi la sasa baada ya kukosa watu.mpaka sasa vipo viti tu na walimu wachache ambao watahusika katika zoezi la sensa.wanananchi wanasema kwamba yeye amekuja kufanya kazi ya chama.source.mwenye nipo kwenye mkutano.
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????
   
 3. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  peeooopleeee!
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  siku hizi wananchi wanadaka mambo haraka sana,hii inaonyesha mwamko umekua juu sana.
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sumu imeenea na pindi kama kawaida yake liwalo na liwe
   
 6. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,798
  Likes Received: 17,884
  Trophy Points: 280
  Hafu Kilosa ndo alipokuwa baba Dr.Slaa juzi kati, Pinda katibua sana aiseee
   
 7. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wananchi hawakatai sensa ila ni jinsi gani hawa wakuu watakuwa na wakati mgumu wa kuonana na wananchi moja kwa moja.kwani kuna wakati wanasuluhisha migogoro ya wananchi hvyo itakuwa ni vigumu kwao kufanya usuluhishi kwani wananchi hawana imani nao.
   
 8. a

  afwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Uko sahihi kimtazamo, lakini gharama yake itakuwa kubwa hasa pale ambapo athari ya embarassment itakapokuwa imelalia kwenye majukumu ya serikali
   
 9. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wananchi hawakatai sensa ila ni jinsi gani hawa wakuu watakuwa na wakati mgumu wa kuonana na wananchi moja kwa moja.kwani kuna wakati wanasuluhisha migogoro ya wananchi hvyo itakuwa ni vigumu kwao kufanya usuluhishi kwani wananchi hawana imani nao.
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wapeleke ffu majumbani wawapige wananchi
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kazi ya chama ipi kwan?
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wananchi waendelee hivyo hivyo kuwasusia ma DC na ma RC ili kuwanyima majukwaa ya kufanyia ccm siasa badala ya kuwa watumishi wa wananchi wote wanaowalipa mishahara.
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa mkuu Lunyungu wapeleke kikosi cha FFU kuwakurupua wananchi toka majumbani mwao!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa hawataki kusikiliza sera za ccm? Kama ni sensa si mkurugenzi wa wilaya angeweza kuelimisha? Muda wa kampeni bado!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,782
  Likes Received: 83,138
  Trophy Points: 280
  Nasikia hao FFU wanataka kumwaga hapa jamvini pia :):) kutembeza virungu na kuwamwagia maji yenye pilipili wanachama wa jamvi hili kwa kutaka kuleta uvunjifu wa amani nchini.
   
 16. M

  MTK JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Wafanye wasifanye, who cares! afterall wamekuwa wakifanya siku zote, DC wa Igunga is a case in point! lakini wakumbuke kwamba Kiendacho hurudi, when the chicken start coming home to roost; do not cry foul!
   
 17. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Kama sio kuzoea fahari naamini kabisa wapo wakuu wa mikoa na wilaya wasioipenda CCM kwasasa, wanatamani hata kujiuzuru wakafanye ujasiriamali na roho zao zitulie kuliko kazi yenye mapresha na lawama kama hiyo waliyonayo kwasasa!
   
 18. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Liwalo na liwe
   
 19. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa upande huu wa ruaha huyu mkuu wa wilaya ana kazi sana,,, na zoezi lake ndo litamlemea mpaka basi,,, yangu macho mie
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Imekula kwake!
   
Loading...