Madhara ya dawa ya kuzuia mimba P2

kwa kifupi hana dawa ya kiwandani isiyo na madhara....kitaalimu sijui inaleta madhara gani ila kuna madhara.

ushauri msitumie, tumie condom, toa nnje au kalenda
 
Tumia kwa emergency tuu usipende mara kwa mara zitakuharibia mzunguko wako na utashindwa elewa kabisa pia inaweza sababisha hormone zako kufanya kazi pasipo utaratibu maalum na kazi husika
 
P2 ni za emergency tu. Zina mtindo wa kupeleka period mbele hata 2 months.

Na hii P2 inafanya kazi ndani ya muda gani baada ya tendo husika mkuu.

Yani, baada ya muda gani kupita inakuwa haiwezi kufanya kazi kiongozi...?

Nadhani nimeeleweka mkuu.
 
Na hii P2 inafanya kazi ndani ya muda gani baada ya tendo husika mkuu.

Yani, baada ya muda gani kupita inakuwa haiwezi kufanya kazi kiongozi...?

Nadhani nimeeleweka mkuu.
Within 72 hours of unprotected sex,yani ndani ya siku 3/masaa 72
 
Within 72 hours of unprotected sex,yani ndani ya siku 3/masaa 72

Ooh okay, thanks mwaya.

Kwa hiyo baada ya siku tatu kupita inabidi zoezi jingine mbadala lifanyike, right...?.

Haya mambo haya aisee.
 
Ooh okay, thanks mwaya.

Kwa hiyo baada ya siku tatu kupita inabidi zoezi jingine mbadala lifanyike, right...?.

Haya mambo haya aisee.
Zoezi mbadala kama ilikua 'danger days',otherwise confirmation utapata baada ya mwezi mmoja,ikitiki mjiandae kulea
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom