Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,578
Wanabodi,
Tangu kuingia kwa Janga la Corona, mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimekuwa nikipiga kelele kuwa media needs to be rescued ili ziweze ku survive, kilio hiki 0has been falling on deaf ears!. Ukiona mwenzako ananyolewa....
Kibano cha madhara ya Covid 19, yameanza kuitafuna media ya jirani zetu Kenya.
Jisomee mwenyewe
NMG Kicks Out Senior Editors and Managers as it Shifts Gears
Kufuatia madhara ya Covid 19, on media, NMG kupunguza waandishi 100 Wakiwemo Editors 40!. This is a " Wake Up Call" Kwa familia ya magazeti ya Citizen/Mwananchi!. Ukiona Mwenzako Ananyolewa!.
Haya madhara ya COVID-19, hayataishia kwenye magazeti ya Citizen na Mwananchi tuu yatavikumba na vyombo vingine vyote vikubwa vya habari nchini ukiondoa vyombo vya habari vya umma ambavyo vinakuwa spoon fed, na kuwa bailed out na serikali, lakini vyombo vingine vyote vya habari, visipo saidiwa kwa kuwa bailed out, vita suffer the consequences.
Paskali