Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

Huu ni uchochezi na kufilisika fikra!
Ametishwaje na katishwa na nani?

Watu wakitoa maoni yao ndio wamemtisha Raisi?

Mods ondoeni upuuzi huu please
 
Muoga kazini akiwatia uoga wenzake.

Unang'ang'ania tu "...hili hutokea dunia nzima....hili hutokea dunia nzima..."
Onesha mfano wa dunia ambayo hilo lilitokea, hauwezi kwasababu sehemu zote iliyokua hivyo raisi alikua ni dikteta kuanzia Vietnam, Ulaya ya Mashariki mpaka Afrika.

Hivi vichwa vya kuku sijui vinatoka wapi.
 
Kama hivyo ndivyo ilivyo sasa unabwabwaja nini maana hakuna kitisho chochote chenye mashiko dhidi ya Rais bali watu wanaelezea (Venting) hisia zao kwa kile wanachohisi kwamba Rais hajali hisia za sehemu ya wananchi wake waliompigia kura basi, hakuna zaidi! Na hiyo ni haki yao kwa sababu Rais amefika alipo sio kwa Urithi bali kwa kura halali za wananchi, ni busara ya kawaida kabisa akijali hisia zao kwa sababu zikipuuzwa sana huo ndio huwa mwanzo wa chokochoko za kijamii duniani kote kama unavyobainisha wewe pia na si vinginevyo, Rais huwa hatishwi bali hushauriwa tu kama wanaJF wanavyofanya hapa. The President should listen to the silent whispers of his subjects, duniani kote kwenye nchi zinazoheshimu katiba, sheria na utawala bora kama Tanzania Marais hufanya hivyo! Tanzania Kwanza
 
db9c2c9186f80dc8c94b0568305e63ce.jpg
 
Ndio.maana kifimbo alisema chonde chonde haya makabila makubwa manne msiyape uongozi wa cheo cha rais maana ni wakabila.kwanza then watajimilikisha nchi nadhani mmeona
 
Yeye ndo anawatisha watanzania. Eti "hakuna wa kunipangia nani awe wapi kwani mimi ndo napanga" Huyu amelewa madaraka na nina hakika haya matumizi ya mitutu kwenye uvamizi wa vituo vya utangazaji yatasababisha machafuko huko mbeleni. Halafu unasema huko kanda ya ziwa kuna watu wengi kuliko sehemu yoyote nyingine. Hivi hujui kwamba wapo akina Msukuma, Kitwanga, Ester Bulaya, John Heche, Ester Matiko na wengineo ambao hawampendi huyo Baba Jesica licha ya kwamba nao wanatokea ukanda huo? Ucha ujuha we dada.
 
Sasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!

Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo, Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hivyo kwangu ni angalizo tu!

Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tufike huko, mtu mwenye akili hufanya mambo ambayo ana uwezo nayo na asiye na Akili hutumia muda mwingi kwenye jambo ambalo hawezi kulibadikisha, fanyeni Siasa nyingine, Raisi wa JMTZ ana madaraka makubwa sana, anateua na kutengua karibia kila cheo muhimu hapa Tanzania, hivyo vitisho vyenu vinaweza kuback fire big time ...

ATatishwa tu maana ni Muajiriwa tu
 
Hahahaha kwani ataishi milele? Siku yake ikifika tamfanyia kama gadafi hata akijificha mtaroni. Tukimkosa akiwa hai hata kaburi lake tutalipiga mawe
Kinyungu huna uwezo huo wewe mbulula labda kusema kwenye mitandao tu.... kama unaweza chukua hatua tuone kama unaubavu!!
 
Katu hawezi kutawala nchi bila wasaidizi wake na bila support ya sisi wananchi hivi vyeo ni dhamana tu kuna maisha baada ya hivyo vyeo (kila mtu na mwisho wake hakuna atakaye ishi milele)

Soma vizuri nilichoandika kama ukipenda, nimeelezea yote hayo!
 
Sasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!

Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo, Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hivyo kwangu ni angalizo tu!

Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tufike huko, mtu mwenye akili hufanya mambo ambayo ana uwezo nayo na asiye na Akili hutumia muda mwingi kwenye jambo ambalo hawezi kulibadikisha, fanyeni Siasa nyingine, Raisi wa JMTZ ana madaraka makubwa sana, anateua karibia kila cheo muhimu hapa Tanzania, hivyo vitisho vyenu vinaweza kuback fire big time ...
mkuu, nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu.

sasa jumla tupo 50M.
ukiondoa watu wasiojitambua kama wewe jumlisha wale kutoka kanda maalumu ni kama 6M, tunabaki 44M.
je, mtatuweza?
 
Back
Top Bottom