Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sasa hivi hapa JF karibia kila post imejaa vitisho kwa Raisi wa JMTZ, sasa kwa maoni yangu hii ina athari mbaya sana nchi na inaweza kuibadilisha nchi hii forever!
Kwanza ieleweke hakuna mwenye uwezo wa kumuondoa Raisi wa JMTZ kwa nguvu siyo Bunge wala Mtu yoyote yule!
Sasa kipi kitatokea? Raisi kwa kutumia madaraka yake makubwa anaweza kuanza kujilinda, hili siyo geni Dunia hii na tukifikia huko tutakuwa tumeshaipoteza Tanzania kama tuijuavyo,
Raisi anaweza kuanza kuteua watu anaowaamini, anaweza kuanza kuisuka upya Nchi kwa lengo la kujilinda dhidi ya vitisho vyenu msisahau pia Raisi anatokea eneo ambalo lina Watanzania wengi klk yote, sasa ni rahisi sana Raisi wa nchi kutumia hivi vitisho vyenu na kuwaaminisha watu wa Kanda ya Ziwa kwamba anaonewa na hawana budi kumlinda hili hutokea Dunia nzima, hapo hapo Raisi ndiyo anateua Mkuu wa Mkoa, Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri, Mkuu wa Polisi Mkoa, Wilaya na wote hao anaweza kutengua teuzi zao mara moja na bila kumuuliza yoyote yule, hivyo kwangu ni angalizo tu!
Hamna uwezo wowote wa kumuondoa Raisi hivyo msitake tufike huko, mtu mwenye Akili hufanya mambo ambayo ana uwezo nayo na asiye na Akili hutumia muda mwingi kwenye jambo ambalo hawezi kulibadilisha, fanyeni Siasa nyingine, Raisi wa JMTZ ana madaraka makubwa sana, anateua na kutengua karibia kila cheo muhimu hapa Tanzania, hivyo vitisho vyenu vinaweza ku back fire big time!
Msitake kuwaamsha waliolala, msitake Watanzania wengine waanze kuwa clever kama kama Wachaga kwamba wanapigania watu wao, hapa Tanzania ukitaka kugombana na Mchaga yoyote yule, mshambulie Mbowe kwa chochote kile, na ndiyo maana chadema inashinda na kukubalika Uchagani au mahali waishipo Wachaga kwa Dar sehemu kama Kimara na Kibamba, hakuna anayeikubali chadema Temeke au Ilala, na kama mnataka kulithibitisha hili chagueni Mwenyekiti wa chadema ambaye hatoki KLM halafu mtaona matokeo ya Uchaguzi Mkoani KLM, Bob Makani alijaribu hili, hata Mashinji hakubaliki chadema kama vile Slaa alivyokuwa anakubalika, na hili lipo wazi, Mashinji hawezi kuvuta big crowds KLM au Arusha City hata afanye nini kwanza hata hawamjui ingawaje ni Katibu Mkuu wao, hivyo kwa maoni yangu msitake kuanza kuwafanya wengine waanze kujiuliza maswali!
Ni kawaida watu kujivunia na mtu ktk kwao akifanikiwa na kufikia ngazi kama ya Uraisi hivyo ni rahisi sana kuona kwamba mtu wao anaonewa, Wachaga hufanya hivyo, Waislamu hufanya hivyo ukimshambulia Kikwete ni rahisi sana kuibua mabishano ya Kidini hata kama ulikuwa hauna lengo na kuingiza udini, Waislamu huona mnamshambulia kwa sababu ni Muislamu, hivyo hata kwa raisi Magufuli haitakuwa tofauti, ...