mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Ukisikia mtu anafikiri kwa unyayo ndio wewe,hivi unadhani CCM inamtegemea mtu mmoja na mtu mwenyewe kama huyo role model wako,hakika nadhani umepofushwa na magazeti ya udaku,FB ,Insta.Pole Chadema ni kama imekwisha sasa imebaki Chadema ya matokeo.Wema nani anamjua kama si hao wanaoshindwa kutwa kwenye udaku,hao wote uliowataja wapo upinzni miaka na miaka je kuna mabadiliko yoyote au ndio kusingizia tume,nakwambia penye nguvu za wananchi hakuna cha tume wala nini ,ni ushindi tu,mambo ya kusingizia tume huru ni porojo tu.