Madereva wengi kutembea na mabosi wao(wa mama) ni sababu ya shida ama laana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine ni wengi wangesema shida
lakini je shida ngapi zinakufanya mtembee na mamazenu waaliowazaa kisa ni mabosi wenu jamani
je mitembea nao wanaweza himili kumaliza shida zenu..??wapo wale wenzetu wana kadudu mtu akak jini mahaba
hao siongelei soln yao iko biafra ,,kumezuka kundi la vijana wengi sana wanatembea na mabosi wao hasa wakienda mikoani...hili si kwa watu wa kawaida tuu bali hadi kwenye mihimili ya nchi waliokabidhiwa madaraka badala ya kwenda na waume zao wanaishia kuliwa uroda na vingast

kama we una katabia hiki acha mwaya nakushauri sio wote wanaokaa kimya wamellaala wako kazini shauri zenu

hizi habari inawezekana uzushi mwingi.....

kwa sababu wanawake wengi wenye kuendeshwa huwa na mambo mengi
sometimes vibuzi kadhaa,na madereva huwa ndo wanawapeleka mpaka kwenye hizo videti
na wao hubaki nje wakiliwa na mbu.....so hawawezi ku risk kutembea na dereva whhile dereva
anajua mengi...
wanakuwa tu na ukaribu ili kumpooza dereva asitoe siri but kutembea nae sio sana

Hizo shida zao hata haziwaishi, kuna mmoja alisema kuna jimama lake bahili kweli, anaishia kunyweshwa na kupelekwa kulala kwenye expensive hotels, shida zake zipo palepale, sijui mikaka ya siku hizi yanawaza nini?

yanaitaji msaaada wa mawazo yako wakalale chumban na wake zao badala ya star 5 na mabosi wao

mabosi wanaume wengi hata kama wana mambo yao huko huwa na tabia ya kuwa wababe kwa drivers rather than kuwa marafiki ili kulinda siri zao, lakini kwa wanawake hali ni tofauti, hupenda kujenga ukaribu na urafiki zaidi na drivers ili kulinda siri zao na ndipo hali ya kuwa karibu kupeana pesa na zawadi n.k. hujitokeza sana, kwa wasioujua undani ni lazima watahisi kuwa watu hawa wana mahusiano ya kimapenzi, lakin ni wachache huwa nayo kweli. huu ni mtazamo wangu tu

Pengine ni wengi wangesema shida

lakini je shida ngapi zinakufanya mtembee na mamazenu waaliowazaa kisa ni mabosi wenu jamani

je mitembea nao wanaweza himili kumaliza shida zenu..??wapo wale wenzetu wana kadudu mtu akak jini mahaba

hao siongelei soln yao iko biafra ,,kumezuka kundi la vijana wengi sana wanatembea na mabosi wao hasa wakienda mikoani...hili si kwa watu wa kawaida tuu bali hadi kwenye mihimili ya nchi waliokabidhiwa madaraka badala ya kwenda na waume zao wanaishia kuliwa uroda na vingast

kama we una katabia hiki acha mwaya nakushauri sio wote wanaokaa kimya wamellaala wako kazini shauri zenu

Biafra..... Mwakasege

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom