Kama huku tungekuwa tunaogelea kwenye kirusi kwa nini sasa madereva wao wasiukwae wakija hukuLakini si ni vipimo hivyo mkuu?
Huoni athari wapi? Umetembelea mahospitalini na mochwari? Unafahamu athari za information flows kuwa blocked?Mbona hatuoni athari zozote kwa Tanzania? Au ugonjwa umewazoea?
Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
Hapo umenena mkuu. Sina swali.Wakenya wanaweza kua wanasema ukwel Ila tatizo vikawa vifaa inatakiwa vwajiulize Mara mbili mbili haiwezekan wakenya madereva wanatoka Tanzania ambapo walikaa wiki moja mpaka mbili wakienda kupimwa Corona mpakan kwao hawana Ila watanzania wanayo huon huu NI usanii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waendelee kufunga tu sisi tunasafirisha Samaki na JNIA inapokea wataliiMkuu hizo kelele zimeshatulizwa hutaona tena wakileta mdomo mdomo!
Serikali makini imeshamalizana nao!
Sahivi tunadunda tu na kufanya kazi..
Kwa kukurahisishia hizo propaganda zilikuwa na mlengo wake ambao umeugusia hapo juu ila wamekutana na kisiki cha mpingo..