Madereva Watanzania 51 wakutwa na maambukizi mpakani mwa Kenya na Tanzania. Visa vya Coronavirus Kenya vyafikia 912

Mayor wa new york anasema walifungia watu ndani cha ajabu asilimia 60 ya maambukizi yametokana na hao waliofungiwa ndani nyie kenya endeleeni kufunga mpaka sisi Tanzania acha tuendelee kula bata. Tena kesho tarehe 19/5/2020 utalii unaanza kama kawa na ndege zimejaa hadi mwezi wa nane. Nyie kenya endeleeni na drama zenu
 
Wananchi wa Kenya wanamlaani sana Rais wao wanaomba hata tubadilishane na viongozi wao wa juu wote tuwape Magufuli wetu!! Chuki zao hazisaidii wao wanawaza kupiga hela za IMF na Mikopo ya Corona ya World Bank ambayo haimfikii mwananchi wa chini zaidi ya kumpima tu na kumfungia ndani na kutuma idadi kwa mabwana wakubwa wao wawape hela zingine huku walala hoi wakifa kwa njaa!! Mungu anawaona kwa kweli
Jipe moyo kwa porojo ila hatuwaruhusu watanzania wenye corona kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe hili jambo la kenya kufunga mpaka linawauma sana! Sasa kila mtanzania ni povu na mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka nzige na mafuriko yamewapiga sana huko kenya so soon njaa itawapiga mtachemsha mawe sisi huku mahindi tunalishia nguruwe ha ha ha ha ha na kuku.Alafu tuna nchi 8 tunafanya nazo biashara kama kawa na kesho tunafungua tourism ndege toka ulaya zimejaa mpaka mwezi wa nane wote wanakuja kutalii tanzania nyie endeleeni kupambana na corona wakati New York wenyewe wamechemsha wamefungua mji
 
Nyie wanafiki mtu akipimwa kenya vipimo vinasema ana korona akija kupima tanzania anakutwa hana alafu mbona hamtaki kufuata takwimu alizotoa rais jana kuwa maambukizi yameshuka sana tanzania
Wangapi wamepimwa Hadi sasa huko Bongo?
 
nianchoifurahia corona inajua sana kucheza na akili za wanafiki,kesho namba itasoma 1002 maambukizi mapya.

hapo ndio unabaki kushangaa,kwani watz wanarusha corona kwa manati,maana wanazuiwa mpakani.

who laugh last laugh loud ana longer,wacha mchezo uendelee.
 
Wangapi wamepimwa Hadi sasa huko Bongo?
Izo namba hazina maana yoyote hamna mtu anayekufa kwa corona huku na mambo yanaenda kama kawaida New York wenye maambukizi makubwa kuliko nyinyi kenya wamefungua mji wao nyie ndio mnajifanya mnajuuua mtakula mawe mwaka huu na nzige ziliwapiga mwaka huu na mafuriko juu
 
Ila New York Ina statistics za covid-19 infections, ya Bongo iko wapi?
 
Ila New York Ina statistics za covid-19 infections, ya Bongo iko wapi?
Achana na manamba mkuu angalia watu wanaokufa kwa corona hapo mtaani kwenu au unawafahamu ni wangapi utakuta hakuna rais jana kasema namba ya wagonjwa imepungua na takwimu katoa ila hutaki kuamini shida unategemea tufe milioni ndio ufurai
 
Tunafanya kosa kubwa sana kuvaa mask na kuhangaika kupita kiasi kujilinda na corona. Corona ni virus ambao hawawezi kuingia kirahisi kwenye mwili wa mtu mwenye kinga madhubuti, na vitu vinavyosaidia kubomoa kinga mwili ni pamoja na hofu na kupungukiwa kiasi cha oksjeni mwilini. Inasikitisha kwamba wataalam wetu wamelala kuelimisha watu juu ya kupandisha kinga ya mwili kupitia Chakula na tumaini yaani kuondoa hofu ambapo Raisi was Tanzania amekuwa akifanya siku zote. Muda unaongea, Corona ni ugonjwa mdogo sana.
Dah...watafiti wanasema kujifungia ndani kunasababisha mwili kukosa uzoefu wa kupambana virus....hivyo wale wanaotoka lockdown wategemee kuathiriwa kwa urahisi na virus mbali mbali ambao hapo awali waliweza kuwahimili

Sent using Beretta ARX 160
 
Umesema vema, issue ni watu kujua ukweli wa ugonjwa wenyewe. Nahisi kwamba WHO ina agenda ya siri kuhusu ugonjwa huu. Fuatilia kama Raisi Magufuli, Trump pamoja na wasaidizi wao wa karibu kama wanavaa mask. Mask ni ujinga mwingine unaotakiwa kukemewa kwa nguvu.
 
Wananchi wa Kenya wanamlaani sana Rais wao wanaomba hata tubadilishane na viongozi wao wa juu wote tuwape Magufuli wetu!! Chuki zao hazisaidii wao wanawaza kupiga hela za IMF na Mikopo ya Corona ya World Bank ambayo haimfikii mwananchi wa chini zaidi ya kumpima tu na kumfungia ndani na kutuma idadi kwa mabwana wakubwa wao wawape hela zingine huku walala hoi wakifa kwa njaa!! Mungu anawaona kwa kweli

Kama naanza kuelewa what is going on here!👽😑
 
Tunachojua ni kwamba hao madereva hawan Corona kama Kenya inavyotaka kuiaminisha dunia,nyinyi endeleeni,sisi hatuna haraka,just inferiority complex ina wasumbua!

Wao wamesema wamepima na kukuta wako na corona. Wewe unayesema hawana corona umetumia kipimo gani??

Mkuu, hii ni sayansi. Vipimo ni sayansi. Hakuna inferiority complex hapa, Kenya iko juu kwa kila nyanja kuliko Tanzania. Tunawazaidi ukubwa wa nchi na idadi ya watu! Basi!! Inferiority complex iko kwetu hapa tukiona mkenya anafanya kazi tunaanza figisu, Kenya hawana figisu na waTz walio huko!!
 
Dah...watafiti wanasema kujifungia ndani kunasababisha mwili kukosa uzoefu wa kupambana virus....hivyo wale wanaotoka lockdown wategemee kuathiriwa kwa urahisi na virus mbali mbali ambao hapo awali waliweza kuwahimili

Sent using Beretta ARX 160

Boris PM wa UK alisema hivyo hivyo watu wasijifungie ndani mwili uzoee virusi sijui nini mara paap kajikuta ICU mpk leo hajarudia kuongea hizo habari,kawa wa kwanza kukomalia Lockdown.
 
Boris PM wa UK alisema hivyo hivyo watu wasijifungie ndani mwili uzoee virusi sijui nini mara paap kajikuta ICU mpk leo hajarudia kuongea hizo habari,kawa wa kwanza kukomalia Lockdown.
Hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona yenyewe.
 
kwahiyo alikufa??
Ndio alikufa na majuzi alionekana akicheza mpira,uzuri si unajua tena bongo tuna ma ventilators ya kutosha kila dispensary/hospital na health system yetu ni bora kuliko ya UK.
 
Back
Top Bottom