Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

madogo wakishanyoa vidu, wakawa na hela ya k Vanti, na vimafuta vya kuunga unga vya kuweka kwenye Alteza, basi wanaona dunia nzima ni yao...

Hahahaaa wewe Mkuu nimekukubali sana. Yaani hawa padogo wakisoma comments kama hizi ndipo watajitambua kumbe wao si lolote wala si chochote kwenye game ya kumiliki ma Private Transport..
 
Sisi wa SUV tunaruhusiwa kukoment hapa? au tutaonekana tunadharau hivyo vigari?
 
Huwa wanafanya modifications kwenye mfumo wa exhaust...
Bora subaru huwa inalia vizuri kwa sababu ya boxer engine..
teza huwa inalia Byuuuuuuuuuphh..
Ahaa duh hizo modifications na mwenye IST anaweza fanya ama ni special for Teza na Baru tu ? na madereva wa hizo gari mmh siwaamini nahisigi wanapuliza mibangi si kwa rough hizo+kelele sorry kama kuna mliopo humu
 
Hii inaukweli kabisa, hata mimi nimewahi kuwaona baadhi..
images-28.jpg
 
Wanapenda sana kuvaa vikaptura na ndala.

Afu wanapenda sana kuning'iniza funguo kiunoni.

Wakiiingia bar, funguo za gari zinawekwa mezani.

mbona unanisema mimi sasa..sasa funguo ulitaka tuweke wapi?
 
Ahaa duh hizo modifications na mwenye IST anaweza fanya ama ni special for Teza na Baru tu ? na madereva wa hizo gari mmh siwaamini nahisigi wanapuliza mibangi si kwa rough hizo+kelele sorry kama kuna mliopo humu
Ndiyo hata kwenye gari ndogo inawezekana lakini si afya sana kwa hizi gari ndogo
 
Natamani mtu apark vibaya nishindwe kutoka.

Halafu nimwambie aniletee ubabe.

Ntakachomfanya hiyo gari yake ataenda kuipaki nyumbani mwezi mzima anajifikiria kama aendelee kuitumia au arudi kwenye daladala..
 
Back
Top Bottom