Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Umri wao wengi ni kati ya 25-35 yrs, walioko above hapo wachache sana humiliki gari za vurugu kama hizi.

Kati yao, mabishoo ndio wengi ila wastaarabu ni wachache kuanzia mavazi mpaka uendeshaji.

Duuhhhh, Mkuu hapo umewahambua vizuri sana. Sina nyongeza..
 
Ila wengi wao wana tabia zote mdau alizozitaja...

Nitatoa mfano halisi kilichotokea mwezi uliopita..

Tumeenda sehemu nikapaki usafiri wangu kama wengine walivyopaki kufuatana na maelekezo ya mlinzi wa pale..tuakaendelea na kilichotupeleka hapo..

Wakati naondoka nikakuta Alteza imepaki vibaya, sikuwezi kutoka..nikawaomba wahudumu wamwambie jamaa asogeze gari...mhudumu akarudisha jibu jamaa hajigusi wala hajibu kitu...

Meneja wa sehemu hiyo akaenda mwenye, kakanyanyuka kajamaa kamenyoa kiduku, mezani kameweka K vanti, suruali mnyonyo...kanavyotembea sasa nikadhani anakuja kuwasha Range Rover sport ya 2019.

Akawasha Alteza yake, akapiga resi kile kibuyu pale nyuma kikaharibu usikivu, basi akaipaki pembeni.....nikaondoka zangu..

Hawa watoto wakishaendesha hizo gari, wakazifunga vibuyu kwenye exhaust, wanahisi wameshamaliza maisha yote.
 
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.

Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.

Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.

Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.

Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.
 
Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then afu tuiache hapo hata kwa siku 2 then yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.

Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akaaema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.

Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 kila akitutafuta kinyama mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.

Mwishoww braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatie ile gari hapo nyuma ilipoblock
Huyo kinabo kweli mlimuweka sawa😂😂😂!!! Unakuta gari kapaki kwenye kona ya ukuta halafu unamuweke ubavu nyuma sehem ambayo hata hawezi sogea akitia R tu kabla ya breki kachubua milango. Hapo lazma alie
 
Ila wengi wao wana tabia zote mdau alizozitaja...

Nitatoa mfano halisi kilichotokea mwezi uliopita..

Tumeenda sehemu nikapaki usafiri wangu kama wengine walivyopaki kufuatana na maelekezo ya mlinzi wa pale..tuakaendelea na kilichotupeleka hapo..

Wakati naondoka nikakuta Alteza imepaki vibaya, sikuwezi kutoka..nikawaomba wahudumu wamwambie jamaa asogeze gari...mhudumu akarudisha jibu jamaa hajigusi wala hajibu kitu...

Meneja wa sehemu hiyo akaenda mwenye, kakanyanyuka kajamaa kamenyoa kiduku, mezani kameweka K vanti, suruali mnyonyo...kanavyotembea sasa nikadhani anakuja kuwasha Range Rover sport ya 2019.

Akawasha Alteza yake, akapiga resi kile kibuyu pale nyuma kikaharibu usikivu, basi akaipaki pembeni.....nikaondoka zangu..

Hawa watoto wakishaendesha hizo gari, wakazifunga vibuyu kwenye exhaust, wanahisi wameshamaliza maisha yote.

Hahahaaa teh teh teh teh, yaani nimecheka kwa sauti sana Mkuu hahaaaa. Asante sana kwa experience yako..
 
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.

Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.

Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.

Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.

Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.

Duuhhhh aiseeehhh hii inaitwa kushikisha adabu. Asante sana kwa kumuadabisha huyu na hatimaye mkafanikisha kumbadili tabia ya kiburi.

Well done Mkuu..!!
 
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.

Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.

Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.

Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.

Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.
Hahahaha....kwa kweli haya yalikuwa ni maamuzi magumu..

lakini mtu akashika adabu..

Huwa nashindwa kuelewa unakutq mtu anavimba kama chatu na Alteza wakati resale value yake huku mtaani imapitwa mbali sana na IST..
 
huko kwa Ferrari na buggati mbali sana mkuu, wafike kwanza level za v8
Mnazungumzia Subaru kwa muktadha wa gharama au?,maana sijaelewa,mfano subaru forester za 2008-2010 zinalingana bei na kluger,
Why sisi watumiaji wa subaru mnatuweka kundi la kujidai kwa muktadha wa gharama ya chombo,kifup subaru n nzuri ukiamua kutoamini imani za kitoyota,thus why we call it CONFIDENCE IN MOTION
 
Hivi haya magari zile sauti/kelele kama ngoma iliyopasuka ndiyo yapo hivo hivo? Yaani yanunuliwa yakiwa na huo mlio wakuu? Siyo wivu ila yana kelele aisee 😀
 
Mmoja alishanifanyia hilo suala la kupaki nyuma yangu halafu akaambiwa na wahudumu kutoa gari yake akasema hii nchi ni huru kila mtu anapaki anapoamua na atatoa muda atakapojisikia(sijui hayo maneno aliyaongea kwanini),tulikua washkaji watatu kila mtu na ka usafiri kake na watu wako maji tayari,hapo maamuzi lazima yawe ya tofauti.

Mshkaji mmoja akatoa wazo tukalipitisha,akasema tupande gari yake then gari ya mshkaji mwingine ipaki nyuma ya hio Altezza then tuiache hapo hata kwa siku 2 afu yeye atatupeleka home,tukaona hii iko vzr.

Jamaa akapaki Gari yake hapo tukasepa zetu ilikua ijumaa na uzuri mwenye bar ni homeboy wetu,so nilimjulisha akasema huyo dogo mwenye hio Altezza hua anazingua wateja kwa hio nyie mshughulikieni tu mtakavyoona.

Ile gari tuliiacha hapo kuanzia ijumaa mpk j5,nikawa mtaani nazugia na ka rav 4 old model fresh tu,yule dogo mwenye Altezza alihaha kinyama kunitafuta kuanzia hio Ijumaa mpk J5 alitutafuta mpk kutishia kuleta breakdown nikamwambia we itoe tu hio gari ya mwana na mkiinyanyua vibaya ikaharibika chochote kile ndipo utajua haujui.,chalii akaogopa.

Mwishowe braza ake ndio alikuja kuomba yaishe na tukatoa ile gari hapo nyuma ilipoblock na mwenye bar anasema baada ya tukio hilo dogo alibadilika kabisa.
Safi sana. Nami nina tabia za kutopenda upuuzi
 
Back
Top Bottom