Madereva wanahitajika MSD

Daaaaah, ungekuwa na cha four na cha ufundi usingetaabika kihivyo mkuu. Fanya mchakato wa kupata hivyo vitu hata kama utatumia miaka mitatu au minne ila matunda yake utayaona mkuu.
Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom