Madereva wa Serikali ndio wanufaika wakubwa wa zoezi la Serikali kuhamia Dodoma

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,480
35,371
Dodoma sasa ni HQ ya Serikali hii ya JMT. Sijabahatika kuona umuhimu wa moja kwa moja kwa wananchi tangu Dodoma iwe makao makuu.

Tuje kwenye point, madereva wa wizara mbalimbali na taasisi mbalimbali zilizohama Dar na kuhamia Dodoma ndio wanufaika wakubwa wa zoezi hili.

Ukizingatia mishahara ya madereva si mikubwa ila hizi trip za Dar -Dodoma, Dodoma - Dar zinaziba magape kwa madereva.
 
Wakazi wa Dodoma wamefaidi kuuza ardhi zaidi.
Kwa upande mwingine naweza kusema wamepoteza zaidi kwani walichokuwa nacho hawana tena.
Kwa asili mgogo sio mchakarikaji na sio mbunifu.
Mfano hai;
Ndugai na bunge lake ni utopolo mtupu.
Wajanja wa mikoani wamehamia Dodoma na kuanzisha shule na biashara..ndio wanufaika wakubwa.
 
Wakazi wa Dodoma wamefaidi kuuza ardhi zaidi.
Kwa upande mwingine naweza kusema wamepoteza zaidi kwani walichokuwa nacho hawana tena.
Kwa asili mgogo sio mchakarikaji na sio mbunifu.
Mfano hai;
Ndugai na bunge lake ni utopolo mtupu.
Wajanja wa mikoani wamehamia Dodoma na kuanzisha shule na biashara..ndio wanufaika wakubwa.
Faida.
1. fisi wameondoka mjini sasa kina matonya wamezagaa hadi bungeni.
2. Vumbi na nzi havipo tena mjini malaya wamejaa kuwaambukiza ukimwi waheshimiwa.
3.
4.
5.Ongeza wewe
 
"Rizki manta shaa" sijui nimesema sahihi. Ndugu zangu waisalmu mtanisahihisha.

Mkuu, kila mja na fungu lake katika maisha. Juzi walikula wale leo wao na kesho mimi ili mradi tu hawavunji sheria na taratibu za nchi basi mimi sioni tatizo lolote mkuu.
 
HAMNA watu nawaonea huruma na wanaishi kwa TABU sana.

Awamu hii Kama madereva wa serikali hii iliyoamia dodoma.

Usingizi wa tabu, Familia anaiona kwa tabu,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom