Madereva wa daladala jijini Dar es Salaam wanastahili pongezi

Hivi mnaijua ligi ya gari za gongo la mboto- Masaki!!!! Ama mbagala kawe""

Uwiii hizi icha!!!!!Na Tata""" utazan zinaenda mkoa""""
Mi naona kwa Dar hizo ndo ruti za kibabe, afu wote madereva na makondakta hizi ruti wanatembea na matusi mfukon akili zao wanajua wenyewe. Ila bado nawapa salute ajari ni almost asilimia sifuri.
Daladala oyeee!!! Usafiri wa wengi
 
Hivi mnaijua ligi ya gari za gongo la mboto- Masaki!!!! Ama mbagala kawe""

Uwiii hizi icha!!!!!Na Tata""" utazan zinaenda mkoa""""
Hii ruti nimeipanda kama miaka miwili,masaki-biafra au masaki-ilala boma.
Hawa jamaa wanakimbizana sana nilikua sipandi gari yoyote zaidi ya maeicher japo nyingine zipo zinazopita ila eicher ilikua lazima niwahi tu.

Ukute zinakimbizana sasa utafurahi na roho yako
 
Back
Top Bottom