Madereva tusimuliane vituko vya mabarabarani

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,320
4,696
Wakuu habari zenu

Ni matumaini yangu mu wazima.

Leo nimekaa nikakumbuka baadhi ya vijistory vya kijiweni kuhusu vimbwanga vinavyotokea mabarabarani hususani safari za mikoani na nje ya nchi ambazo mara nyingi hufanyika mida ya usiku.

Vimbwanga ni vingi kama kukuta mawe yamepangwa barabarani, kusinzia gafla ushatoka nje ya barabara, kufatiliwa na gari flan isiyoeleweka kwa muda mrefu.

Madereva binafsi, wa IT, wa Transit, wa Matanker sogeeni hapa mtiririke



Sent using Jamii Forums mobile app
 
AISEE. nilisinzia niliposhtuka nikakaa saiku tatu bila kupata usingizi. ILIKUWA NIFE. Pale msamvu morogoro palinikumbusha mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom