Madereva tuliowahi kukutana na mauzauza usiku let's share hapa ilikuwaje na uliepuka vipi?

Iweee
nilikua naenda Bukoba kumuona rafiki yangu Rutashobwa, akiwa ana siku mbili akitokea Russia kutembea nikiwa na `Jeep Wrangler ya 2013, kitu mang'anyu watoto wa mjini wanakiita, pembeni niView attachment 1235657ko na mtoto mkali kinoma shepu Vela Sidika si kitoto ujue, kavuta kiti kalala kidogo ilo limpaja sasa daaah wazee dunia hii... akijipooza na bellaire moja fire!! akijisnapisha na kasimu kakitoto haka ka iphone X.
Basi ile kuna kipande kimoja sijakumbuka vizuri ni wapi maana huwa siweke vitu vya kijinga akilini mwangu, mara nikaona kundi la watu wamevaa madera meusi na machokaa wamekaa katika ya barabara wananiomba lift, mmh nikiwaza hivi hawa na machokaa yao si watanichafulia Jeep langu, nikiwakataa kwa spidi ya treni ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom