Madereva mnaotumia njia ya mwendokasi, siku gari likiwaharibikia katikati mtafanyaje?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,023
40,693
Maana zile barabara za mwendokasi ni njia moja na zina kingo pembeni, ikikuharibikia hapo huwezi kuisukuma pembeni na gari za nyuma haziwezi kupita. Tuache kutumia hizo barabara maana tuna haribu utaratibu, hivi wote tukipita hapo itakuwaje?
 
hiyo si shida mkuu, kwani gari ikiharibika inageuka jabali au mwamba usiong'oka...?
 
Siku gari ikikata ball joint na kuwa kama jabali au mwamba ndio utajua, na by the time breakdown la kukubeba limefika ni watu wa ngapi utakuwa umewachelewesha safari zao?
 
nahisi wenye Gari mbovu huwa hawapiti mle! lakini kama una ki- IST cha kuhongwa ikitokea hivyo unakibeba unakitia mfukoni unaondoka salama
 
Nakumbuka kuna wajeda walikuwa wametoka kukata magogo katika pori fulani,
Jioni jioni hivi lori lao limejaa magogo (nadhani sote tunayajua malori ya wajeda)
Mwisho kabisa juu kule kuna wajeda kadhaa wamelala zao wanapiga stori.
Huku lori linakula mbuga, limefika eneo fulani huwa wanasimama hawa wakaguzi, na hapo ni mida ile ki giza giza kinaingia.
Bwana we, jamaa pale chini (wale wakaguzi) wakalipiga mkono (hawakujua kama ni lori la wajeda)
Likapiga breki, wale wakaguzi kuhamaki hivi, kumbe ni lori la jeshi limetoka lilipotoka na magogo ndani.
sasa wale wakaguzi wakasema, nendeni hatukujua kama ni nyie,
wale wajeda wakagoma, wako juu kule, juu ya magogo wanakula bangi wale sijui.
Wakasema, "HILI GARI HALIENDI MPAKA LISUKUMWE"
Hapo kumbuka ni lori limejaa magogo, na wale wanao ambiwa wakasukume ni hawa wazee wa kufuga vitambi.
Limetokea zogo pale mpaka vilio, mwisho kabisa wajeda wakawasha gari lao, haoooo wakasepa zao.
Kumbe gari halikuwa hata la kusukuma, ni ile kutaka tu kukomoa.
 
Naonaga V8 namba private kabisa, zingine ni za majaji, zingine ni za serikali tu, na hadi vi-passo naona vinachanja mbuga mule kwa kujiamini, mbona ule uwoga na heshima iliyokuwepo mwanzo sasa hivi hakuna, nini kimetokea?
 
Nakumbuka kuna wajeda walikuwa wametoka kukata magogo katika pori fulani,
Jioni jioni hivi lori lao limejaa magogo (nadhani sote tunayajua malori ya wajeda)
Mwisho kabisa juu kule kuna wajeda kadhaa wamelala zao wanapiga stori.
Huku lori linakula mbuga, limefika eneo fulani huwa wanasimama hawa wakaguzi, na hapo ni mida ile ki giza giza kinaingia.
Bwana we, jamaa pale chini (wale wakaguzi) wakalipiga mkono (hawakujua kama ni lori la wajeda)
Likapiga breki, wale wakaguzi kuhamaki hivi, kumbe ni lori la jeshi limetoka lilipotoka na magogo ndani.
sasa wale wakaguzi wakasema, nendeni hatukujua kama ni nyie,
wale wajeda wakagoma, wako juu kule, juu ya magogo wanakula bangi wale sijui.
Wakasema, "HILI GARI HALIENDI MPAKA LISUKUMWE"
Hapo kumbuka ni lori limejaa magogo, na wale wanao ambiwa wakasukume ni hawa wazee wa kufuga vitambi.
Limetokea zogo pale mpaka vilio, mwisho kabisa wajeda wakawasha gari lao, haoooo wakasepa zao.
Kumbe gari halikuwa hata la kusukuma, ni ile kutaka tu kukomoa.
Hahahah, out of topic lakini..
 
Kwahiyo hata jamaa gari likikwama pale mwendo kasi,
itampasa alisukume,
hakuna jinsi.
Ushawahi kukatikiwa na ball joint wewe? Utajuta.., yaani tairi za mbele zinakosa ushirikiano, moja imekata kulia ingine imekata kona kushoto, halafu zinainama kama migulu baja..
 
Mpaka sasahivi nida hawajanipa kitambulisho changu yani wananisumbua sana halafu wanaanza kukamata magari cjui ynaypita mwendo kasi ya barabara jamani shughulikieni mambo ya msingi.
 
Nakumbuka kuna wajeda walikuwa wametoka kukata magogo katika pori fulani,
Jioni jioni hivi lori lao limejaa magogo (nadhani sote tunayajua malori ya wajeda)
Mwisho kabisa juu kule kuna wajeda kadhaa wamelala zao wanapiga stori.
Huku lori linakula mbuga, limefika eneo fulani huwa wanasimama hawa wakaguzi, na hapo ni mida ile ki giza giza kinaingia.
Bwana we, jamaa pale chini (wale wakaguzi) wakalipiga mkono (hawakujua kama ni lori la wajeda)
Likapiga breki, wale wakaguzi kuhamaki hivi, kumbe ni lori la jeshi limetoka lilipotoka na magogo ndani.
sasa wale wakaguzi wakasema, nendeni hatukujua kama ni nyie,
wale wajeda wakagoma, wako juu kule, juu ya magogo wanakula bangi wale sijui.
Wakasema, "HILI GARI HALIENDI MPAKA LISUKUMWE"
Hapo kumbuka ni lori limejaa magogo, na wale wanao ambiwa wakasukume ni hawa wazee wa kufuga vitambi.
Limetokea zogo pale mpaka vilio, mwisho kabisa wajeda wakawasha gari lao, haoooo wakasepa zao.
Kumbe gari halikuwa hata la kusukuma, ni ile kutaka tu kukomoa.
achana na hawa wa magogo,yupo mmoja alitelekeza landrover mwendokasi.ikaja kutolewa na break down.

hao wa mahogo walikuwa barabara ipi ya mwendokasi?
 
Back
Top Bottom