Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

ntafurahi ukionyesha mfano wewe!! watakuonyesha mazoezi ya msituni ambapo umeachwa pori la wanyama wakali na una kisu tu! halafu mvua inanyesha na kuna radi! mgongoni una mzigo wa kilo 65 na chakula pekee umepewa nyama mbichi:eek::D:D

jana nimewaona wapo kwenye difenda kama 6 hiv wamevaa mask na wana mashine za hatari mkononi! hao sio polisi baba hawaulizagi mara mbili
Hamna bhana wale walikuwa ndio viongozi wa kiroho wa kijeshi
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona uendeshaji wa magari wa hovyo kabisa hapa Dar es salaam unaofanywa na askari jeshi (JWTZ).

Miezi kadhaa nyuma nilishuhudia gari la jeshi likimpuuza askari barabarani pale Tazara na kwenda kuparamia magari ya watu, Mungu ni mwema hakuna aliyepoteza maisha.

Leo nikielekea kazini asubuhi, tukiwa katika foleni gari la jeshi lilitanua nakuanza kukwaruza magari ya watu likiwemo lakwangu, chakusikitisha dereva wake hakuonesha kujari wala kusimama.

Najiuliza maswari, hawa watu wanenda shule za udereva tofauti na civilians?
Je, wanafundishwa kufanya uhuni huu mafunzoni?
Nivipi siku tukianza kuwaadhibu wenyewe au kuchoma magari yao kama tunavyochomeana raia tukisababisha hajari kiuzembe?
Ujasiri wakutia kiberiti garii ya jeshi unao? Tuanziee hapoo
 
Em fanya hivyo aisee..and dont forget to tell us the tale!
 
Natamani sana hii hbari imfikie waziri wao Hon Mwinyi ili awape nasaha namna bora ya ku-behave wakati wa vita na usio wa vita.
Inaweza kusaidia sana.
Wewe unajuaje Kama Kuna Vita mahali au haipo unataka wakutangazie yaweza kuwa iko stage ya chini wanawahi
 
zile njia za mwendokasi ndo ilitakiwa ziwe finyu kama njia za dharura ambazo zingesaidia hawa walinda amani wapite bila kizuizi. Make saa nyingine wanawahi kuzuia matukio hivyo lawama inarudi mahali husika. Watu tunakaa foleni eneo moja zaidi ya nusu saa huu upuzi JW hawanaga kabisa
 
Washazoea kuendesha magari ya mizinga wale hamna wanachokijua wengine utawakuta wana land rover 110 TDI na bendera yao nyekundu nyuma wanakata kona kwa speed kubwa hawajui kuwa hilo 110 na kona ikiwa kwenye speed ni hatari sana...
 
Madereva wa magari mengi ya serikali wanavunja sheria makusudi tu, ukiwakosoa unaanzisha mzozo ambao huwezi kushinda. Siku moja Tazara makutano nilijikuta nikipokea matusi kutoka kwa dereva wa gari la Magereza eti nimejifanya sisikii honi. Ilikuwa hivi, Nilikuwa pale Tazara Makutano nikielekea mjini kati nikiendesha piki piki. Taa zilikuwa zimewaka nyekundu na sikutaka kuchomoka ingawa ningeweza kufanya hivyo kama kawaida ya waendesha piki piki. kwa kifupi nilitii sheria za barabarani kwa kusimama kwenye mstari kushoto pembezoni mwa barabara kusubiri taa zituruhusu.

Dereva wa gari la magereza aliyekuwa akilekea mjini kati pia alitokea nyuma yangu akalipandisha gari lake kwenye pavement na kuanza kunipigia honi nimpishe asimamishe gari pale nilipo mimi. kwa kuwa sikutegemea gari upande wangu wa kushoto tena kwenye pavement sikugeuka mara moja hadi alipozidisha honi zake,nikampisha na kuanza kuniporomoshea matusi ya chini ya kitovu, bahati nzuri taa zikawa zimeruhusu nikainua kitu kuendelea na harakati zangu, sikumjibu kitu.
 
Wengi wao wanao fanya ivyo ni mabashite, hata kama gari inawahi sehemu kwa ajili ya mambo ya usalama wa nchi ni wajibu wa mwanajeshi kuomba kusafishiwa njia na Polisi, ubabe mwingine sometimes ni ufala tena ipo siku ataingia kingi.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona uendeshaji wa magari wa hovyo kabisa hapa Dar es salaam unaofanywa na askari jeshi (JWTZ).

Miezi kadhaa nyuma nilishuhudia gari la jeshi likimpuuza askari barabarani pale Tazara na kwenda kuparamia magari ya watu, Mungu ni mwema hakuna aliyepoteza maisha.

Leo nikielekea kazini asubuhi, tukiwa katika foleni gari la jeshi lilitanua nakuanza kukwaruza magari ya watu likiwemo lakwangu, chakusikitisha dereva wake hakuonesha kujari wala kusimama.

Najiuliza maswari, hawa watu wanenda shule za udereva tofauti na civilians?
Je, wanafundishwa kufanya uhuni huu mafunzoni?
Nivipi siku tukianza kuwaadhibu wenyewe au kuchoma magari yao kama tunavyochomeana raia tukisababisha hajari kiuzembe?
Jaribu uone,ukiona gar la jesh pisha,unajuaje pengine kabeba mabomu au kuna mission anawai
 
Hawa jamaa ni tatizo sana barabarani. Na sahivi limekuja wimbi lao wamepata kazi na kuchukua tu mikopo baasi barabara nzima ni miziki ya hovyo na ukiwaangalia walioko ndani utadhani ni wavuta bhangi tu. Ukichungulia kwenye magari yao kumejaa chupa nyingi na harufu za vilevi. Wanapenda sana kuendesha vigari vidogo vidogo kama vitz na starlet huku zikiwa na machata ya majani matatu na zile za marasta, kuna mkoa mmoja siutaji ila wamekuwa kero kwa tabia hizi
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona uendeshaji wa magari wa hovyo kabisa hapa Dar es salaam unaofanywa na askari jeshi (JWTZ).

Miezi kadhaa nyuma nilishuhudia gari la jeshi likimpuuza askari barabarani pale Tazara na kwenda kuparamia magari ya watu, Mungu ni mwema hakuna aliyepoteza maisha.

Leo nikielekea kazini asubuhi, tukiwa katika foleni gari la jeshi lilitanua nakuanza kukwaruza magari ya watu likiwemo lakwangu, chakusikitisha dereva wake hakuonesha kujari wala kusimama.

Najiuliza maswari, hawa watu wanenda shule za udereva tofauti na civilians?
Je, wanafundishwa kufanya uhuni huu mafunzoni?
Nivipi siku tukianza kuwaadhibu wenyewe au kuchoma magari yao kama tunavyochomeana raia tukisababisha hajari kiuzembe?
Jaribu uchome gari la Jeshi harafu uone kitakachokupata,epukeni kuweka siasa katika hizo Taasisi,
 
Wengi wao bangi tu.

Wapo madereva wa jeshi wasikivu na wastaarabu sana ila ukikutana na mvuta bangi lazima atakua na fujo za kipuuzi.

Ni kama madereva raia pia wapo wapuuzi na wavuta bangi utakuta full vurugu, angalia wale wabeba mchanga kutoka Boko, Bunju n.k wengi wao machizi tu kwa sababu ya bangi
Hawa jamaa wa maselela hii njia wengi sio wazima kabisa anaweza kuwa anakuja upande wako kakaa kwenye chaki nyeupe inabidi utoke barabarani
 
Wengi wao bangi tu.

Wapo madereva wa jeshi wasikivu na wastaarabu sana ila ukikutana na mvuta bangi lazima atakua na fujo za kipuuzi.

Ni kama madereva raia pia wapo wapuuzi na wavuta bangi utakuta full vurugu, angalia wale wabeba mchanga kutoka Boko, Bunju n.k wengi wao machizi tu kwa sababu ya bangi
Bangi sio pombe????
 
Kuwa mpole hao ndio wenye Nchi, ndio wanatulinda wao hupokea Amri pengine kuna jambo au Vifaa vya Muhimu alikuwa anawahisha mahala fulani.
 
Back
Top Bottom