Madereva Dar waligonga Lamborgini la Davie Mosha kwa kulishangaa

Status
Not open for further replies.
Davie mosha anasema anapata tabu kwani ni gari alilolinunua kwa pesa nyingi 1 billioni kutoka kwa mtoto wa bakhresa na halina hata miezi minne toka anunue

My take
Huyu jamaa ni nani hasa?
Ana kampuni ipi? Ina dili na nini?

mkuu cheki hiyo link utapata kumjua
Delina Group Enterprises (DGE) - Official Website

gari ya bilion moja si angeagiza kiwandani ikaletwa kwa ndege kuliko kununua gari ya bilion moja mkononi mwa mtu.. mkuu mi siamini kitu kama hicho mpaka naingia kwenye pembe 4
 
inawezekana kuna mtu wake wa karibu kaniambia kuwa jamaa wa bakhresa alivyoinunua insurance yake alilipia mill 600
so inawezekana kabisa
 
inawezekana kuna mtu wake wa karibu kaniambia kuwa jamaa wa bakhresa alivyoinunua insurance yake alilipia mill 600
so inawezekana kabisa

mkuu hayo ni mambo ya kufikirika ingia kwenye site uangalie bei ya gari mpya kama hiyo ya mwaka 2012 bei gani ndio ujue tunajazana upepo tu kama maputo wakati siku hizi kila kitu wazi na hakuna gari ya kuivalue insurance ya 600M TZ.
cheki hii link New Lamborghini Cars - Find 2012 2013 Lamborghini Car Prices & Reviews - Motor Trend Magazine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom