Madera kutoka Mombasa

killer whale

Member
Nov 9, 2017
60
19
Tunauza madera ya kutoka mombasa na yenye mitandio mikubwa.

Bei ni Tsh 14,000/=

Tupo Dar 0659469663
ad787eef47430e654adf244a40d22c99.jpg
c5d94c9e4edeac2598735c65c6bbc438.jpg
ba7a5c876e5b936a8c1d5e2682763405.jpg
 
Ule mzigo ulontumia kwa gar la kilimanjaro umefika salama nashkuru..naomba niwekee mengine 10 alaf ntumie pich nichague..mana nmekuchek wasap hujafungua txt
 
Ule mzigo ulontumia kwa gar la kilimanjaro umefika salama nashkuru..naomba niwekee mengine 10 alaf ntumie pich nichague..mana nmekuchek wasap hujafungua txt

Madera toka Mombasa yanauzwa

Madera

Teh nmependa hii style yako ya biashara, unajifungulia uzi mwenyewe, na kujishukuru kwa kutumiwa mzigo,hii kiboko haki a mama....umesahau kuchange namba ya simu
 
Ule mzigo ulontumia kwa gar la kilimanjaro umefika salama nashkuru..naomba niwekee mengine 10 alaf ntumie pich nichague..mana nmekuchek wasap hujafungua txt

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Wewe una multiple IDs sasa ulichokosea ni kuweka namba ya simu ile ile.
Alafu kingine bei umeweka ile ile.
Mkuu JF sio Facebook page

Madera toka Mombasa yanauzwa
 
kausha Evelyn Salt, ila nimecheka sana tu.
Mm nna akaunt jf na mke wang ana akaunt..mm nlikuwa tanga kwa muda nikamtumia mzigo mke wang dar ambaye yy pia anatangaza humu jf na huwa tunaweka namba ya mke wang na ya kwangu
 
Kwahiyo hapo ni mke na mume mnapongezana kwa mzigo Kufika salama kupitia kilimanjaro bus??? Sio mbaya lakin
 
Mm nna akaunt jf na mke wang ana akaunt..mm nlikuwa tanga kwa muda nikamtumia mzigo mke wang dar ambaye yy pia anatangaza humu jf na huwa tunaweka namba ya mke wang na ya kwangu
Acha uwongo wewe loooh!! Kudanganya kwenyewe huwezi atii mimi na mke wangu mara huwa unanunuaga mzigo kwa huyo jamaaa....mkeo unamshukuru kwa kukutumia mzigo na mnafanya wote biashara na namba yenu ya simu moja mke na mume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom