Madent wa Kitanzania Wajiuza Majuu-cheki picha hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madent wa Kitanzania Wajiuza Majuu-cheki picha hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Oct 11, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya wana Jf,sio kila apatae scholarship kwenda kusoma nje ya Tanzania huenda kufanya kile kilichokusudiwa ,baadhi yao huenda kuendeleza kile alichokizoea kukifanya hapa Tanzania.

  unaweza kuangalia hapo pichani labda waweza mwona Dada,Ndugu,Mjomba Akiuza mwili wake huko aliko,

  It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners gather are known to be pick-up joints for women of certain nationalities.

  They charge anything between RM200 for a single session and RM600 for an all night session at any hotel.
  These women carry glamour names like Glory, Sophea, Steffie, Joey, Sarfee, Prescia, Noami or Jim,
  They are aged between 20 and 30 and claim to be from Ghana, Tanzania, Togo, Cameroon, Botswana and Nigeria.

  [​IMG]

  Waiting for clients: Some of the African girls waiting for potential customers near a nightclub in Jalan P. Ramlee.

  A 22-year-old girl, claiming to be from Tanzania, said she was studying English in a college in the city and was not a regular patron at the club.
  "I do not come here every day but only when I needed some extra money and company,'' she added.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa kuna lipi jipya, hapa bongo mitaa yote ya madada poa imejaa madenti wa colleges kama KIU, IFM, CBE, UDSM, DiT name them.
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Njaa zinawafanya watege mingo
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mbona ni kila mahali watz wanafanya hizo mambo ..hata huku tuliko madenti wa kitz ndio kazi yao halafu hawataki kabisa ukitaka kuwajua ..
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Soko huria hilo mkuu,waache.
   
 6. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Haishangazi sana
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,225
  Trophy Points: 280
  Mwakalinga, rekebisha sio kila mahali waTz wanafanya hizo mambo na pia sio kweli kuwa madent wa ki Tz ndio kazi zao. This is too general. be specific kwa kusema ni baadhi ya maeneo na baadhi ya madenti ili kuwatendea haki wale ambao hawafanyi hizi mambo.

  Kwa vile jf ni ya waTz for Tz, hoja nyingi zinawahusu wa Tz, kwa tuliojichanganya na madenti wa nchi mbalimbali, wajameni Watanzanis ndio wasafi!. Wasotho, Waswana, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wanigeria etc ni wachafu kuliko Watanzania mara 100!. Na wazungu ndio usiseme kabisa ni kinyaa, hao wote hamuwaoni nyie mnawaona Wabongo tuu?!.

  Hawa ni wakuhurumiwa na sio kushutumiwa. Wengine wanayafanya haya out of need and that is their last option because they don't have any other means after being abandoned by their nation in a foreign land!.
   
 8. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  MKuu this one too is too general, pls be specific. Hayo mataifa kweli watu wake wote wana tabia hiyo? Unaweza kuthibitishaje ukweli huo?
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mimi nadhani isiwe kama ndio kuhalalisha jambo husika,si kila ukosapo mahitaji basi yakulazimu kujiuza,labda tuseme ndio hulka ya mtu kwani hata hapa nilipo wapo watz kibao tena hili ni jiji la kibiashara lakini waliowengi hawaonyeshi hiki kilicho onyeshwa katika thread,

  hapa ni kulidhalilisha Taifa na kuwadhalilisha wanawake wakitanzania nje ya Tanzania
   
 10. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hajasema madent wote amesema madent wa kitz na kusema kila mahali labda tu sidhani kama amepita kila mahali ya dunia ila ukweli ni kwamba hata hapa nilipo mimi wapo watz wanauza na wakisikia we ni mtz hawataki kabsa muonane na mjuane. I dont see if it's a big deal maana hata huko home si wanauza tu kama kawaida.
   
 11. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kuenda Malaysia - Kuala Lumpur mitaa ya Bukit Bintang, nilikutana na black mmoja kwenye super market moja inaitwa Low Yat Plaza, alichoniambia nikichanganya na alivyovaa kwa kweli nilibaki mdomo wazi ! Of course kwa lafudhi ile alikuwa ni mnigeria. Kwa habari iliyopo hapa wala sitashangaa kusikia hivyo kuwa wasichana wetu wanajiuza Malaysia.
   
 12. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I hate unafiki wa watu kama wewe.....hivi hawa wa kuanzia Primary,secondary hadi vyuoni wanao zagaa kuanzia saa kumi na mbili jioni mitaa ya Sinza, na dar es salaam,Arusha,Mwanza, Zanzibar,Tanga na mijini kote pamoja na kumbi za starehe huwaoni kwamba wanawazalilisha mama zao na wanawake wakitanzania kwa ujumla ila huyo ambaye huwezi kututhibitishia kwamba hapo yuko 4sale na sio kwenye event ya kawaida unaona ndo kafanya dhambi kuuuubwa sana...lol....thats why kila siku wajanja wanapiga bao hii nchi maana watu wengi ni wanafiki.....
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mimi naendelea kusisitiza kuwa waliowengi hufanya kazi hiyo sio eti hana pesa ila ni katabia walichonacho kama kile walichonacho mashoga wakiume

  kama umesoma vizuri utaona wanamwelezea yule dada wa kitanzania anae dai kuwa huenda ktk eneo la tukio kwa kupata kampani na kupata pesa za ziada,unapozungumzia ziada unamaanisha unacho na kama ukikitumia vizuri hicho ulicho nacho huwezi kulazimika kujiuza

  tulikemee swala hili sio jema kabisa
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hii kitu ni kila kona siku, 30% of students in EUROPE work in sexual industry as their part time job especially the girls. Asian are shy, but very frustrusted with life, Ukipata bahati kwenda night club sehemu kama China, South Korea, Japan utakutana na mademu wakali unanywesha pombe unabeba hadi asubuhi. Mkiamka, hamjuani kila mtu anaenda zake. Ukienda Indonesia mji kama Surabaya (Dori street), watu wanalipia hadi Kodi, wanaume kazi yao ndo hiyo kuuza wadada.

  Only in some african countries hizi tabia hazijazoeleka sana, lakini in short when it comes interms of relationships it is always complicated especially wanawake wanapoanza kuchuja ndo hapo wanaume wanatafuta dogo-dogo, at the same time hali ya uchumi nao unasababisha watu kushindwa kumdu kasi ya mabadiliko ya dunia matokeo yake wanajiingiza kwenye hizo tabia za umalaya.
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ningekuwa mnafiki nisinge dhubutu hata kuliongelea swala hili,nadhani umelitumia neno unafiki pasipo kuelewa maana yake,sio eti kwa kuwa wao huzaa wakiwa wanafunzi basi nasi tukachukulia kuwa ni jambo la kawaida kwao,Huwezi fanya jambo furani eti kwa kuwa furani kafanya,ni lazima uangalie na uwezo ulionao

  nikirudi ktk mada ni kuwa huu ni wakati wa kuyakemea ni si wakati wa kuangalia Historia za eti dsm,eti mwanza

  hivi ukizaliwa nje ya ndoa je utalazimisha na mtoto wako wa kike nae aze nje ya ndoa?
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mhandisi nakubaliana nawewe, kuna nchi ukienda marafiki wanakuwa hawapo au wapo lakini tabia haziendani au kuna vitu mtu alishavizoea kwa hiyo anaona hakuna sehemu ya kupumzikia au kurelax. Matokeo yake ndo anajiingiza kwenye hizo game za hatari.
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kuna nchi umeitaja sio kweli nipo hapa tena nipo ktk jiji haswa na najichanganya kweli na pijio zao ni bei rahisi sana lakini si kama ulivyo elezea,kwani wao kitabia na utamaduni ni mala chache sana kumkuta mwanamke akifanya mambo ya ajabu na kama huamini naweza kupa mifano ya waafrica waliotaka kuleta udanganyifu ktk mapenzi na nini kiliwakumba

  sikatai tabia hiyo ipo hata hapa lakini si kwa kiwango hicho

  tunawatu hapa wana ukeke wa miaka 3 lakini hadi leo hii hawaja ona ndani si rahisi sana kama kwetu Bongo

  kama umesha wahi soma thread moja wapo ililetwa hapa,kuna mbongo ameoa ASIA lakini anapewa penzi kwa kuhesabiwa miezi
   
 18. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #18
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Sehemu/nchi nyingi nilizotembelea na huku nilipo kwa sasa niekuta hiyo hali kuwa baadhi ya dada zetu ambao tunajua kuwa wameenda kusoma prostitution ni part time job kwao.Tena kuna ambaye nilimuona sikuamini kwani alikuwa ni moja wa best students -Kifungilo enzi hizo .
  Nakubaliana na wewe kuwa nimeiweka statement yangu too general .
  Ukweli ni kuwa tulio nje ya Tanzania tunaona mengi sana kuhusu hawa dada zetu,tena hata hao mnaowaona ni watoto wa matajiri ( Baba zao mawaziri,viongozi wa serikali ngazi mbalimbali na wafanyabiashara)huko Tz baazi yao ndio vinara wa kazi hiyo.UK kuna dada mmoja maarufu sana kwa kuwauza watoto wa kibongo.Jina nalihifadhi.
  Nilifanya utafiti kwa nini watoto wakike wengi waliopo nje ya Tz baadhi yao hawapendi kujichanganya na wanaue wa kibongo ,sababu kubwa niliyoipata ni kuwa wengi wanajihusisha na ufuska sasa hawataki kisanuke.
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nashukuru sana mkuu

  sasa nimeamini kuwa kazi hiyo ni hurka ya mtu,kwani wapo wenye pesa zao lakini bado wanajiuza na upo uwezekano mkubwa sana hata huo ujira hawana shida nao,kikubwa wanachojari ni kuridhishwa kimapenzi,yaani siwezi amini kuwa mtoto wa balozi ama fisadi akose pesa ya matumizi
   
 20. Hatujuwani

  Hatujuwani Member

  #20
  Oct 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wako kibaruani kama wewe ulivyo kibaruani, maisha magumu ndugu.
   
Loading...