Madeni Special thread: Changamoto gani unakutana nazo wakati wa kudai na kudaiwa?

we jamaa nlikuwa nadaiwa 20 nikapambana mpaka nikailipa kwa mbinde sasa ivi naona nna ahueni yan napumua kabisa nakaa bar naagiza six pack ya budwizer , deni lisikie tu kwa mtu aisee, alafu ela yenyewe nlienda kufanya kilimo hela ikazama shambani kudadeki...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Toka 2016 japo wanalalamika chini chini. Wengine wanasema kabisa umetutia hasara. Ila ndo hivyo siwezi lipa na sina cha kuuza kuzilipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anatuma hivyo vifungu vya Bible naweza sema anahofu ya Mungu kama anafofu ya Mungu na analijua neno hivyo basi atakulipa kuwa na subira 2.5M sio helandogo na sio rahisi pia kumdhurumu mtu coz nikiasi kikubwa chapesa mpemuda atalipa taratibu mkuu.
Hatukatai kuwa subira ni muhimu. Lakini je kwa huo muda wa miezi sita ni kwamba hajapata hata laki 5 aanze kupunguza deni ili mwenzake nae aendelee na shughuli zake ? Au ndo kisa kashatatua shida zake basi ndo anamsahau mwenzake.
 
Mie nina mpangaji wangu, ni baba mwenye familia yake, sasa hapo kwenye nyumba yangu alimpangishia mchepuko wake, nina mdai kodi ya miezi sita, sababu ananiambia hali ngumu!
Nikamuuliza kama unajua una hali ngumu kwanini ujiingize kwenye kupangisha mchepuko?
Jibu lake: "sasa hapo naona mama unaingilia faragha yangu..."
Nawaza kumtimua kwa kweli!
Hahahah eti unaingilia faragha yake
 
Haka hapa, nataka nikaone full asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Haka
Screenshot_20191213-125645.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mtu nimpe hela yangu ya jasho alafu anizulumu, huwa naomba mmoja alikufa, mwingine kapata kichaa. Yaani naomba hasa.

Mlete niombe hadi ashike Nguo mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni wetu sote kumbuka Hilo

Pili kuhusu kufa mtu uliyokua unamdai Wala hata inaweza isiwe maombi yako
Sote tutakufa kumbuka Hilo


Mungu ni wote Kuna vitu anavibalance yeye mwenyewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom