MADENI: Mtihani mkubwa sana kwa Lissu, CHADEMA itisheni harambee

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,892
22,649
MUHIMU

Ukichaguliwa/teuliwa kuwa mbunge unaweza kukopa

1: Million 200 tsh kwa ajiri ya kununua usafiri

2. Million 90tsh kwa kununua /kujenga nyumba

3. Million 30 kwa kununua mavazi yanayoitwa ya kiheshimiwa


UZI

Wabunge wanaokopa pesa hizi hulipa kwa kukatwa kwenye mishahara yao na pengine penshen kiasi kwamba kama mbunge atafukuzwa au kuacha ubunge hali huwa tata kiasi na wengine huuishia kufilisika na hata mara nyingi huenda kuomba msaada kwenye ofisi za bunge (kumbuka kauli ya mama Makinda )

LISU

Baada ya ofisi ya bunge kumfukuza ubunge madeni yanamuandamana na hata cheo cha umakamu mwenyekiti wa taifa kukipata ni huruma za wanachadema ( nampongeza Mbowe kwa hili) ili angalau aweze kupunguza stresses za madeni na kuishi kwa shida


Baada ya ziara yake USA na bunge kufanya yake Lisu anaogopa hata kurudi Tanzania ilikukumbana na kesi zikiwamo za mabenk

WITO

Wanachadema fanyeni kitu kuhusu Lisu mmsaidie maana hali si hali

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajawai kukopa huyu,ndugu yangu akikumbwa na shida ya cheti feki na alikua boss wa idara flan, wakati anatolewa kazini alikua ana mwezi mmoja toka achukue mkopo wa mil 42 cash wa kulipwa kwa mshahara,nilikua mkopo wa ujenzi wa nyumba ya wapangaji,ila hakua ametumia hata kumi maana hana shida ndogo ndogo,na kama alijua akazitoa pesa zote na kuhamishia kwenye account ya mke wake,ss HV maisha yake safi balaa,ana miradi na mibiashara kila kona,na mkopo wanalipa cjui ndio BIMA?, cjui ndio serikali yenyewe?,,yy anasema wala hataki kujua mkopo analipa nani
Hivi una akili kweli wewe? Kesi za mabenki!? Unadhani hiyo mikopo haina bima?
Unajua anadaiwa kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikulaumu, nalaumu wazazi wako kwa kukosa kukupeleka shule,mhe lissu hata kaa anadaiwa 300m tanzania shilings,hio ni hela kidogo sana, hio ni $130,000 PEKEE, hii ni hela hata mimi mweyewe naweza mpa mhe lissu kaa zawadi, nikikumbuka yule mungu ambae alimuokoa toka risasi za chama cha kijani na wakubwa wakwe , ndie huyu huyu mungu ambae amenibariki mimi kuwa millionaire in US$$$$$, so hii upubavu wako umeleta hapa utakupeleka kwa shetani haraka sana
 
Umeandika kwa kuhisi mno

Huna data hata moja ya uhakika

Huenda ana madeni kama mtu mwingine yeyote,ila huyajui

Labda alikopa alipokua Mbunge,guarantor yupo na ni Bunge

Sasa sijui unaongea nini?

Umeandika kumdhalilisha vile as if wewe huna deni kabisa dunia hii

Umehisi,umetoa hukumu na conclusions,na kufunga mjadala kabisa!

Aisee
 
Back
Top Bottom