Mademu

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama
Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha! Kumbe mburula tu,Ngozi" nyeusi tii, Na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....Hivi mnatambua Kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha Sana tunapowaona humu na huko Barabarani!??? yani hamjui tu mnavochekesha na laiti Kama mngekuwa mnajua sidhani Kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!Mewaza tu jaman
Kwa Hisani ya watu Wamachame wakishrikiana na Lyamungo.
 
Hahahaaaaaaaaaa! Mtumzima Atishiwi Nyau!!!!!!!!!!!

Kujiangalia, kujikosehsa raha, kujistukia na kuwaona wengine ndo wanastahili kuvaa kitu falani ni umburulaaaaaaaaaaa!!!!!!

Kazi ya Mungu haina Makosa na Sikujiumba, so kama sikujaaliwa na Maulana basi nifanyaje? niwe mnyonge na kuwaona wengine ndo wanastahili zaidi? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!!!11

Navaa vizuri chochote nafsi yangu inachojisikia kuvaaaaaa! Kama unaona mwili wangu una kasoro wasiliana na Maulana umkosoe kwa kunipa vispoku na sio guu la bia!?? Kama huo uwezo unao? Kama huna kakojoe ulaleee eeeh mtoto mzuri!

Ukijiangalia Ulivyo huto vaa fashion yoyote, wala hutotoka ndani na watu watahakikisha wanaikali na kujigalagaza kwenye self esteem yako mpaka akili zitakapokurudi kuwa hao wenyewe hawana lolote!!!!!!!!
 
teh teh teh wacha weee...........!
Full viwalo bin tatoo na mitindo ya nywele
 
sasa naamini huu msemo

Madem wa dijitali ata kama ni mbaya ka mizengo pinda, atataka umsifie. .. Xaxa mwambie ukwel kama ye ni zombie, . Dadadadeq, nyapu yake utaiskia kwenye radio ..! Cha msingi kuwamwagia misifa ata kama ya uongo''!
 
beaty is in the eyes of beholder..
or what criteria are you using to judge soneones beauty!!!!!!!!!!!!

wakati wewe unamwona mwenzio ni zombie ---- mtu
akiiwaza hiyo sura tu dushelee linamsimama.......
 
Naona kama haya ni maneno ya mkoswaji. Usituletee habari za sungura za sizitaki mbichi hizo!
 
sasa naamini huu msemo

Madem wa dijitali ata kama ni mbaya ka mizengo pinda, atataka umsifie. .. Xaxa mwambie ukwel kama ye ni zombie, . Dadadadeq, nyapu yake utaiskia kwenye radio ..! Cha msingi kuwamwagia misifa ata kama ya uongo''!

HAHAHAAAAAAAAAAAA!

Mimi ukiniambia MZURI AU MBAYA kukubaliana inategemeana na wewe kama MZURI au MBAYA?????????? Mambo ya nyani haoni kundule siyatakagi!

Unakuta JITU BAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ! SURA IMEMSHUPAAAAAAAAA KAMA FUTARI YA GIMBI! afu eti anataka kukutingisha kuwa wewe mbaya! MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

Ila kama mcute roho itaniumaje ?

So baba WEKA PICHA kabla hatujaendelea usituchoshe tusikuchose! TUSICHOSHANE!!!!!!!!!!!!
 
Mbona naona kama vile ni maneno ya mkosaji.

Vipi ndugu yangu Wambuzi? Kuna mahali umetupia nyavu halafu haujakamata kitu?

Tuambizane mkuu huenda nikakusaidia kutatua tatizo lako, Si unajua "sio wote wenye midomo wanajua kuitumia".
 
Last edited by a moderator:
Wat i hate is mwanaume kukaa kuponda wanawake .i believ ata wewe mtoa mada uvaaj wako wa kituko .uyo uyo umpondae ndo tutakukuta nae unatembea nae .uyo uyo n dada ako nyumban.cha msing usiponde .jaribu kuelimishaa
 
..Tusibishane na ukweli. wazuri wapo na wabaya pia wapo.
ndio maana hata haya maneno yapo kwenye lugha zetu "UGLY n BEAUTY"
 
Maneno haya yamemlenga mtu si bure

Mwishoni kamaliza na kwa hisani ya watu wa machame na lyamungo,hapo ndio kadhihirisha kuwa mhusika yatamfikia tu

Ahsante Wambuzi.
 
Mambo ya likzo haya wamewagika sana huku mikoani,leo stendi yetu walipita huyo mmoja we acha tu!!ni mzuri lkn kaacha karibu kifua chote tatizo ni mba mwingi sana,sasa sijui anaonyesha nini??? yani hadi kinyaaa!!!.
 
KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama
Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha! Kumbe mburula tu,Ngozi" nyeusi tii, Na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....Hivi mnatambua Kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha Sana tunapowaona humu na huko Barabarani!??? yani hamjui tu mnavochekesha na laiti Kama mngekuwa mnajua sidhani Kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!Mewaza tu jaman
Kwa Hisani ya watu Wamachame wakishrikiana na Lyamungo.

Hivi kuwa mweusi ni ubaya? Jamani..... hatuishi kujidharau!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom