Mademu zangu huwa ni black big mama hao mademu weupe sina mudi nao kabisa

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kiukweli kabisa huwa sina mudi na mademu weupe ata kidogo, lakini kila ninapojaribu kuwatongoza huwa hawachomoi alafu nikiwa nao kwenye mahusiano wananiganda sana,

Sijui kwa nini nikimuona demu mweupe sina stimu nae mademu zangu mimi ninaowapenda ni wale black flani hivi huwa wanakuwaga na mizigo ya maana,

Viuno vyao na hipsi zao zimejaa jaa, ukimgeuza nyuma sasa mashalah ila hivyo videmu vyeupe sina mudi navyo kwa sababu wengi ni flat alafu wananyeka sana sema sura na Rangi zao huwa zinawabeba,

I love u my black baby mama nyie vyeupe am sorry mkapendwe ma WASU............!

CC ZERO IQ
 
mzee wa chako ni chako
 
yaan bwana zero inaonekana unapenda sana mizigo ya mombasa
 
Mwanamke mweupe kwa kuuza sura nae sehem za starehe anapendeza sana kuvaa nguo za nusu uchi anavutia zaid yaan raha saaana....
 
Back
Top Bottom