Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

Wakenya wengi wananusa gundi na petrol na wanakunywa changaa wamekata tamaa ya maisha ,kenya unakuta watu wamevaa suti na tai wanakwenda kwa mabanda kukunywa mataputapu na changaa
Kuna pombe noimeogopa kutest. Wanachanganyiwa na kitu Kama juice ya miwa na tangawizi ni mkorogo mmoja hivi. Wakimywa Wanataka jasho jingiii.
 
Béer zimetofautiana bei Mzee,
Hizi Lite ndio zinaunzwa from 1500/- (70ksh) pamoja la local lager zenye ujazo mdogo like 350mls.
Lager kubwa zinaanzia 2000 hadi 3000ts kwa Local béer, imported lager zinaanzia 3000k na kuendelea. Huku Imported zina kodi kubwa kuliko local, na pia cost of production iko chini a reason bei za vyombo ni kawaida sana,
Besides, wengi Bado wanatumia lager na imported kuliko lites,
Tazama hapa siku ya simba day juzi watu tunajilipua halafu tuingie uwanjani na Vibe, suala la kuwa bei ndogo haihusiani na watu kumudu, bongo watu wana pesa za matumizi, a reason wanajaza uwanja wa Taifa kwa viingilio
View attachment 1946636
View attachment 1946637
View attachment 1946638
Sasa kama tiketi ni finje, si hata watoto wadogo wanaweza afford? 😂
 
Wakenya wengi wananusa gundi na petrol na wanakunywa changaa wamekata tamaa ya maisha ,kenya unakuta watu wamevaa suti na tai wanakwenda kwa mabanda kukunywa mataputapu na changaa
Vipi issue ya Gongo, bado unakunywaga ama ulipewa daawa ya babu wa Loliondo ukawacha uraibu? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kuna pombe noimeogopa kutest. Wanachanganyiwa na kitu Kama juice ya miwa na tangawizi ni mkorogo mmoja hivi. Wakimywa Wanataka jasho jingiii.
wacha kabisa kunywa spirits ukiwa Kunyaland wanachanganya na formalin (dawa ya kuhifadhi maiti)! Unaweza kuharibu figo! Kunywa beer tu ndo kinywaji salama maana si rahisi ku-brew beer mtaani!
 
Basi hiyo pombe ndiyo mbadara wa kuoga wakitoka jasho wanajifuta wanakwenda kulala
 
wacha kabisa kunywa spirits ukiwa Kunyaland wanachanganya na formalin (dawa ya kuhifadhi maiti)! Unaweza kuharibu figo! Kunywa beer tu ndo kinywaji salama maana si rahisi ku-brew beer mtaani!
Mara zengine hua unaclaim umefika Kenya mara kadhaa alafu saa zengine unatoa statements kama hizi ambazo zinadhihirisha wazi haujawahi kukanyaga Kenya...
Mambo ya formalin na hizo spirits unazoongelea ni traditional alcohol amabazo zinatengezewa huko vibandani kwenye vitongoji duni na watu wanakunywa pombe ya shilingi kumi kumi..... You will never get that kind of alcohol in any bar in Kenya, hizo ni unregulated alcohol ambazo hazina lebo wala chupa, ni sawa sawa na mtu amefarment mahindi au miwa pale kijijini, sasa sijui kama hayo ndo hua ni mambo yako manake spirits zinazouzwa kwa bar ni manufatured, infact, zengine ambazo hua mnakunywa huko Tz hua zimetengenezwa Kenya ! So kumwambia mtu asikunywe spirits Kenya inaonyesha haijawahi kufika Kenya.
 
Béer zimetofautiana bei Mzee,
Hizi Lite ndio zinaunzwa from 1500/- (70ksh) pamoja la local lager zenye ujazo mdogo like 350mls.
Lager kubwa zinaanzia 2000 hadi 3000ts kwa Local béer, imported lager zinaanzia 3000k na kuendelea. Huku Imported zina kodi kubwa kuliko local, na pia cost of production iko chini a reason bei za vyombo ni kawaida sana,
Besides, wengi Bado wanatumia lager na imported kuliko lites,
Tazama hapa siku ya simba day juzi watu tunajilipua halafu tuingie uwanjani na Vibe, suala la kuwa bei ndogo haihusiani na watu kumudu, bongo watu wana pesa za matumizi, a reason wanajaza uwanja wa Taifa kwa viingilio
View attachment 1946636
View attachment 1946637
View attachment 1946638

Kwenye pombe zote ukijumlisha Watanzania hunywa pombe nyingi kuliko wakenya,
Lakini hii ni kwasababu watanzania wanakunywa pombe za traditional (kama mnazi).. lakini ikija kwa factory processed alcohol kama wine, spirits na beer..... Kenya tunakunywa nyingi zaidi.... Kwahivyo hivyo vipicha vya watu kunywa bia hap nje ya stadium si kitu, nje ya my local bar hivyo ndo inakaa kila asubuhi na eti bar zinafaa kufungwa saa moja kabla curfew..
 
Mara zengine hua unaclaim umefika Kenya mara kadhaa alafu saa zengine unatoa statements kama hizi ambazo zinadhihirisha wazi haujawahi kukanyaga Kenya...
Mambo ya formalin na hizo spirits unazoongelea ni traditional alcohol amabazo zinatengezewa huko vibandani kwenye vitongoji duni na watu wanakunywa pombe ya shilingi kumi kumi..... You will never get that kind of alcohol in any bar in Kenya, hizo ni unregulated alcohol ambazo hazina lebo wala chupa, ni sawa sawa na mtu amefarment mahindi au miwa pale kijijini, sasa sijui kama hayo ndo hua ni mambo yako manake spirits zinazouzwa kwa bar ni manufatured, infact, zengine ambazo hua mnakunywa huko Tz hua zimetengenezwa Kenya ! So kumwambia mtu asikunywe spirits Kenya inaonyesha haijawahi kufika Kenya.
Boss, unaishi nairobi gani? Jonny walker na jameson za kariobangi zimejaa top clubs za tao. Ama wewe ni mgeni mjini?
 
Kenya the Europe of East Africa. Yani MTU kutoka east&central Africa akipata pesa bila kufika Nairobi uhisi kama vile hajatembea mji mkuu ipasavyo hadi akanyange na kutumia ile pesa jiji kuu la Nairobi.

Nairobi is a measure of success in East Africa
Labda wakikuyu wenzako wakitoka ushago wakifika Nairobi ndio measure of success for them
 
Nairobi is a measure of success in East and Central Africa. Mdanganyika akija Nairobi hiyo Siku halali sababu ya furaha.

By the way we have many beggars from Tanzania on our sreets in Nairobi wenye hula uchafu yenye tunatupa kando ya barabara.
 
😂😂😂😂😂 tukiruhusu uDC Bongo wewe lazima tukupe uraia wa Tanzania lol!!!

Subiri wazoefu waje, mimi tangu niache pombe miaka kadhaa sasa mji wa Nairobi mida ya usiku huwa kama mgeni.
Ukiwa na hela yako na kama kweli wewe mjanja wa Dar mbona unakatiza katiza tu freshi, tafuta dereva wa taksi akuonyeshe mautamu yote ya mji.
 
Sasa kama tiketi ni finje, si hata watoto wadogo wanaweza afford?

Tickets Zilikuwa
Platinum 200,000 (9,000Ksh)
Venue A 30,000 (1,400ksh)
Venue B and C 20,000 (900ksh)
Round 5,000 ( 220 Ksh)

All Tickets were sold out before noon,

Plus spectators tulivaa new Simba Kit 35,000 Tsh (1,500ksh)
The kits were sold out a day before the match

Plus majority tunakuwa na hela ya bata, na pia hundreds travel from up to 1000km for the match,
Mpira ni pesa ndugu, don’t be deceived.

Tazama hizo smartphones zilivyowashwa hapo stadium
IMG_2481.jpg

IMG_2482.jpg
 
Back
Top Bottom