Mademu wa uswazi hawapendi wanaume wa mshahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mademu wa uswazi hawapendi wanaume wa mshahara

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kansije, Feb 22, 2011.

 1. kansije

  kansije Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa nini mademu wa uswazi hawapendi wanaume wa kipato cha mshahara, wanapenda wale wa kipato cha kila siku? Kama madereva na makonda wa daladala vile
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tena huwa hawana complications kabisa, ni very simple ila wakiingia mitaa ya 'wajuu' nao hubadilika kimazingira.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ndo kina nani hao???
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unajifanya huwajui leo!!!!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ndo nini "Mademu" niambie basi acha kunifanyia hivyo
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo lao wanagawa kwa kila mtu
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhhh kumbe wanaume wanabaguliwa hadi kwa mishahara? interesting news!:A S 13:
   
 8. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hao ndiyo saizi yao maana wengi wao pia wananuka jasho, hawajui kuosha K**a, pia hamuwezi kukaa na kuongea mambo ya maana sababu ya tofauti ya madaraja
   
 9. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hao ni wanawake wasiofikiria kuhusu future yao wao wanawaza mambo ya leo tu not tomorrow.
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kumbe mademu ndo wanawake??? Aisee sitachangia kwa heri jina baya sana hili
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kaka huu utafiti ulikukuta wewe mwenyewe nini?? Wamekukataa wewe wanakimbilia kwa makonda?!!!! Jitahidi kuongeza kupato kaka. Hata hizo za kuingilia internet cafeee jitahidi uzibane
   
 12. K

  KGB Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huwezi kuchapa mzigo kama makonda na madreva wa dala dala
   
 13. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  safi kweli hawa.hawana gharama
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  No matter how much a girl earns, she'll always encourage an extra source of income!
   
 15. dorin

  dorin Senior Member

  #15
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Is this a proven theory? if yes by who? I need the sample please, and the place where the sample was taken
   
 16. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  jamani sasa hao mademu wa uswazi watakutana wapi na hao jamaa wenye mishahara heavy? Wakati m2 akishapata kazi ya kumlipa vizuri km alikuwa anaishi uswazi anahama.SO HAO WENYE MSHAHARA MDOGO NDO SAIZI YAO
   
 17. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hawahitaji kuwa na wewe muda mrefu sasa watasubiri vipi mshahara... si bora konda akigonga anaacha hela ya dagaa hapohapo!!!!
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  KUGAWA maana yake ni kumega kabisa na kuondoka nacho! Je, ndivyo hivyo unavyomaanisha au umechanganya lugha tu?
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hii ni kama ina ukweli....
   
Loading...