Mademu wa bongo mnaboa, wengi wenu mpo slow sana

Haya wale wa kukataliwa Kila siku jinyonge tu maana Mambo ni Moto

Kiukweli wanawake wote akili zinafanana ila wanaume zinatofautiana

Unashauriwa kupungua hasira kwani Kila mtu ana mawazo yake

Kuna baadhi ya wanawake Wana chapwa bunduki Mara 5 hata kwa siku pia Kuna Wana ume ni waoga was mahusiano wanamaliza miezi 3 nakuendelea anakumbatia shuka tupu mfululizao

WhatsApp: 0752182934

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze na kuwauliza swali,
Hivi mwanaume anapo jitahid hadi anaanzisha conversation na wew huwa mnatuwazia nn hadi mnakua hamuwezi kuonesha respond???

Kengine utakuta hadi mnafanya kazi sehemu moja, ila ukikasalimu hata kukuangalia usoni unaona hakawezi, unaitikia huku umetizama pemben au simu.

Na wengine unakuta hata sio ubusy, wala kaisha olewa, hakuma ila tu mnakua na kaujinga ka kuhisi kwamba, wanaume wote story zetu zinafanana...

Mimi niseme tu kuwa, usipokua active na watu wanaokutafuta hasa kwa jinsia tofauti, unakua mzembe sana na unajinyima kufikilia Maisha.
Utajikuta unanenepeana kwa kukalia starehe moja ya kula ugali wa nyumbani kwenu...
Na utatafuta mchawi nan anae fanya unenepe na utamkosa.

Mim niseme tu kuwa, mwanamke anaejiamin na yupo active na maisha ya sasa hawezi kuringa au kuogopa bira sababu kutengeneza ujirani na mwanaume hata siku moja.

NOTE: remember
Sex make woman more perfect.

Sent using Jamii Forums mobile app
hatari fire
 
Nini shida jaman,
NAONEKANA KUWA NATAFUTA CONVERSATION KWA MABINTI HILI NITONGOZE??? No

Wasichana wa kupendana nao mbona wapo tu, kupata girlfriend sio kazi kiasi hicho hadi, kuwe sababu ya mm kuyasema haya yalio katika uzi huu.
Haya wale wa kukataliwa Kila siku jinyonge tu maana Mambo ni Moto

Kiukweli wanawake wote akili zinafanana ila wanaume zinatofautiana

Unashauriwa kupungua hasira kwani Kila mtu ana mawazo yake

Kuna baadhi ya wanawake Wana chapwa bunduki Mara 5 hata kwa siku pia Kuna Wana ume ni waoga was mahusiano wanamaliza miezi 3 nakuendelea anakumbatia shuka tupu mfululizao

WhatsApp: 0752182934

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usifikirie pafupi hivo,
Sio kila ukitaka kujuana na mtu kuwa lazima unataka kumtongoza.

Mm naweza kutafuta ukarbu hata na mwanamke anae nizidi umri na sio kuwa nataka awe demu yangu. Note hilo.
Duh, umenikomesha kwa kuandika mengi.

Inshort, hao wanaozingua hata kukuangalia siyo chaguo la Mungu kwako.

Na ukilalamika ni kama unamlalamikia Mungu.

Atatokea ambaye Mungu kampanga na atakupa attention.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa thread hii umegonga ikulu...subiri mapovu....wanajifanyaga wanaringa sana...alafu most of wanaoringa wengi ni wabaya...yaani videmu vile vibaya vibaya ndo huwa vinaongoza kwa roho mbaya
 
Nianze na kuwauliza swali,
Hivi mwanaume anapo jitahid hadi anaanzisha conversation na wew huwa mnatuwazia nn hadi mnakua hamuwezi kuonesha respond???

Kengine utakuta hadi mnafanya kazi sehemu moja, ila ukikasalimu hata kukuangalia usoni unaona hakawezi, unaitikia huku umetizama pemben au simu.

Na wengine unakuta hata sio ubusy, wala kaisha olewa, hakuna ila tu mnakua na kaujinga ka kuhisi kwamba, wanaume wote story zetu zinafanana...

Mimi niseme tu kuwa, usipokua active na watu wanaokutafuta hasa kwa jinsia tofauti, unakua mzembe sana na unajinyima kufikilia Maisha.
Utajikuta unanenepeana kwa kukalia starehe moja ya kula ugali wa nyumbani kwenu...
Na utatafuta mchawi nan anae fanya unenepe na utamkosa.

Mim niseme tu kuwa, mwanamke anaejiamin na yupo active na maisha ya sasa hawezi kuringa au kuogopa bira sababu kutengeneza ujirani na mwanaume hata siku moja.

NOTE: remember
Sex make woman more perfect.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan unataka nkuzoee haraka ili iwejee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom