Wewe naona umeamua kuwa mchambaji ......
Haya tupe maneno yetu tusipokuelewa sasa hivi hatutaelewa milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unateseka? Kwani anatumia pesa zako kulewa?Ni kweli usemacho,
Lakin huwezi kuniambia kuwa mlevi tusimwabie kuwa apunguze pombe kisa tusimpangie mambo yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya r na l pia mtihani alafu anashangaa kwanini hawataki conversation nae.
Stress.
No sina stress kabisa kwa sasa,Stress.
Aki wanapisha na magari ya mishahara, posho na malupu lupu.Wanataka utumie nguvu ya ziada
Mwezrahi
Halafu sio alafuMatumizi ya r na l pia mtihani alafu anashangaa kwanini hawataki conversation nae.
Kwanini unateseka? Kwani anatumia pesa zako kulewa?
NIMETOKA KAZIN NINA HASIRA KINYAMA.
Huu ni mwezi wangu wa kwanza, toka nianze kazi private sector. Sijawai pokea malipo yoyote, Sina hela wakuu nimepigika balaaa. Job naonekana kama maisha safi lakin siri naijua mm, Mfukon nina Jero tu hata chakula cha mchana siwezi kununua. Job napo kazi zilikua nyingi kinyama nikaitwa kunywa...www.jamiiforums.com
Je inaweza ikawa ina mahusiano na hili?
Kwa hiyo thread ukute wanamchunia kwa vile wanajua bado anakaa home.
Itamke mara tatu then utaelewa.Halafu sio alafu
mpuuzi mpuuzi tu
Kwa hiyo thread ukute wanamchunia kwa vile wanajua bado anakaa home.
I mean kwa wazazi mkuu, sasa maduu wakijua unakaa kwa mshua wanaona bado mtoto, huna cha kuwaambia.