Mademu wa bongo mnaboa, wengi wenu mpo slow sana

GBWA-20190310115925.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka utumie nguvu ya ziada

Mwezrahi
Aki wanapisha na magari ya mishahara, posho na malupu lupu.

Coz mm kama Ladies nikiwa na urafika nao.
Huwa sinaga kuficha ukweli, ukiwa wrong kitu fulani mm nakusahihisha fasta tu.

Ili tukae kwenye right track wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Je inaweza ikawa ina mahusiano na hili?

Kwa hiyo thread ukute wanamchunia kwa vile wanajua bado anakaa home.
 
Juu sina mdomo ama?
Mdomo namuachiaga mathee?

Nikwambie tu kiunaga ubaga kuwa,
Mm hata sifikirii kuwaacha watu wa home, juu mm ni first born na majukumu niliokwisha pewa ni mengi tu,
So usinicompee mm na watu wenyu, au mm na wew.

Mimi ni Lango (Mazaliwa wa kwanza kama Lango katika familia)
Siku majukumu yakiisha nitafikiria nawaachaje.
I mean kwa wazazi mkuu, sasa maduu wakijua unakaa kwa mshua wanaona bado mtoto, huna cha kuwaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom