Mademu wa bongo mnaboa, wengi wenu mpo slow sana

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,571
Nianze na kuwauliza swali,
Hivi mwanaume anapo jitahid hadi anaanzisha conversation na wew huwa mnatuwazia nn hadi mnakua hamuwezi kuonesha respond???

Kengine utakuta hadi mnafanya kazi sehemu moja, ila ukikasalimu hata kukuangalia usoni unaona hakawezi, unaitikia huku umetizama pemben au simu.

Na wengine unakuta hata sio ubusy, wala kaisha olewa, hakuna ila tu mnakua na kaujinga ka kuhisi kwamba, wanaume wote story zetu zinafanana...

Mimi niseme tu kuwa, usipokua active na watu wanaokutafuta hasa kwa jinsia tofauti, unakua mzembe sana na unajinyima kufikilia Maisha.
Utajikuta unanenepeana kwa kukalia starehe moja ya kula ugali wa nyumbani kwenu...
Na utatafuta mchawi nan anae fanya unenepe na utamkosa.

Mim niseme tu kuwa, mwanamke anaejiamin na yupo active na maisha ya sasa hawezi kuringa au kuogopa bira sababu kutengeneza ujirani na mwanaume hata siku moja.

NOTE: remember
Sex make woman more perfect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada angu Khantwe, for sure nahis utakua wew upo overweight.

Nisamee bure, nachukia unene kutokana na kazi yangu, nakutana na wengi wanateseka kutokana na maisha ya kuwa na unene ulio pitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Je inaweza ikawa ina mahusiano na hili?
 
Tunakoelekea wanawake watakuwa wanaolewa na ama kuchumbiwa na smart phone ,watawakosa wanaume maana akiingia tuu hata kwenye dala dala ama basi akikaa tuu airphone masikioni ni muanza kuperuzi kwenye simu. Hata kwenye mikutano, mikusanyiko yeye anacheka na smart phone , sasa hatari ikoje ule muda wa socialization wa kuulizana namba za simu majina kwa mtu mliokutana naye kwa mara ya kwanza haupo, ama mnafahamiana hatoi muda ama umuhumu wa kuwa na maongezi na wewe !!! hapo tunakuwa na jibu moja tuu dharau ama ana furushi la wafuasi anaowahudumia huko insta inayomwamisha akili. Asili ya mwanaume anapenda akikutana na mwanamke awe akili yote ipo kwake, asitaje wala kuonekana anawafahamu watu wengi kama ilivyo tabia ya Mungu kuwa ni mwenye wivu kwenye kuabudiwa kadhalika mwanaume huwa ana wivu na kupenda kudanganywa kama yupo peke yake na ndio wa kwanza kumwona mwanamke huyo. Sasa unapata dem mnaanza kuchat insta ama facebook halafu ukifunhua tuu ukarasa wake unakuta watangulizi ana marafiki zaidi ya 10,000 mostly wanaume!!! mkataba umeishia hapo hapo
 
Mahusiano kuhusu nn?

Ni uzi wangu huo naona.

Je inaweza ikawa ina mahusiano na hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom