Mademu part II

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
 
Ha ha haa Makavu Live!
 
Hivi anayechagua ni mwanaume au mwanamke? Mimi sielewi elewi vizuri hapa
 
leo hujataja wachaga?????ndio wanaopenda hayo???? maana mada zako usipotaja wachaga haijakamilika
 
mbona keshawataja!!!!
aliposema kwa Hisani ya watu wa Uru Kishimundu hapo Uru ni karibu na Mjini Moshi sasa asubuhi kina dada wanateremka Mjini Moshi na mabeseni yana Maparachichi na ndizi kichwaniwakishayauza wanatembea kwa miguu tena kurudi Uru huku njiani wakitafuna miwa (Hii hali imeiambukiza miji mingi kina mama kutembea na mabeseni Kichwani hata hapa Dodoma kina mama wa Ntyuka huja mjini kulangua nyanya, karanga na mbogamboga km kina mama wa Uru-Kishimundu Wambuzi hivi hawa Wanawake wanaotaka wasomi ndio hao wa Kishimundu?
 
Last edited by a moderator:
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.

Hahahaha,umegusa kijana,hawa wapo sana mikoa kama,dar,mwanza,arusha,tanga, na miji mikubwa.
Msichana amefeli form 4 ama six,yupo home anagongea poda ya mama yake,lakini ukimsikia vitu anavowaza,utadhani anamtaji mkubwa.
Kwanza hataki mvulana ambaye hana kazi,pili anapenda matanuz, .tatu hapendi kabisa kufanya kaz ye ni kula kulala na kujiremba kisha faceboo na disco haha
Sikuhiz kuolewa uwe mama wa nyumbani inataka moyo,mjitahidi mpate hata pa kushika,jamani hata cherehani .......
 
Ningeongezewa hizo nguvu na muda mnaotumia kuwawaza hawa viumbe ningekuwa mara mia ya nilivyo!
 
kwendeni huko...nani aolewe na muuza sura...mwanaume majukumu eeeeh hata kama nilifeli la nne ..shule nifeli hata kuchagua my dream husband nishindwe...mwanaume ukae tu kibarazani na kushinda saluni kupiga perere ndo nikudream mimi? nishafeli la nne mie nichukue tena kilaza mwenzangu aliefeli form four/six ? kufeli ni kufeli tu hata kama ni chuo..huko saluni mnashinda mnashindwa hata kuosha wadada miguu mpate hela? mwanaume wallet babu haijalishi historia yangu ipo vipi....
 
Hahahaha,umegusa kijana,hawa wapo sana mikoa kama,dar,mwanza,arusha,tanga, na miji mikubwa.
Msichana amefeli form 4 ama six,yupo home anagongea poda ya mama yake,lakini ukimsikia vitu anavowaza,utadhani anamtaji mkubwa.
Kwanza hataki mvulana ambaye hana kazi,pili anapenda matanuz, .tatu hapendi kabisa kufanya kaz ye ni kula kulala na kujiremba kisha faceboo na disco haha
Sikuhiz kuolewa uwe mama wa nyumbani inataka moyo,mjitahidi mpate hata pa kushika,jamani hata cherehani .......

Binti yangu akipata zero form four NAMKULA MWENYEWE!!!! NDO ADHABU HIYO MAANA WANAWAKE WAMEZIDI KUWAZA WANAUME
 
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
Wangekuwa na upeo wa kufikiri ka wewe wasingeachwaachwa ovyo....
 
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.

hiyo kali ya mwaka. nimeipenda sana hiyo mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom