pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 110
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
Wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka, its so good kwa kweli
toa mawe wewe sio kulialia tu hapa khaa..Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
Sikukuu hii mi na wewe benet
Ndio mapenzi ya kweli
Nalog off
ni upako unawavuta pamoja
Yaani fanya hima kabla upako haujaishaUmeonae ntakutafuta nahc na sisi lazima upako utuvute
Wengine wananuna wik moja kabla bila sababu yote hyo kisa anajua mzinga wa nguvu unakuja
mapenzi ya kweli ya kupigana mizinga
Yaani fanya hima kabla upako haujaisha
Wengine wananuna wik moja kabla bila sababu yote hyo kisa anajua mzinga wa nguvu unakuja