Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.



Kwenye hicho kitabu asisahau kumtaja na Kakoko aliyekuwa mkurugenzi wa TPA na mamilioni yake ya dola aliyokutwa nayo chumbani
 
Yaani miaka nenda Rudi wameshindwa kabisa kufuta legacy ya GK na TID Ile Ngoma Yao ya maombolezo ndio Ngoma Bora ya maombolezo ktk mziki was bongo fleva kwa wakati wote
Sure yaan bora wangelala tu,ile ngoma ya Gk na tid bonge moja la ngoma yaan unaweza kusikiliza na ukatoa machozi kuanzia melody, hadi beat unaona kabsa kitu kinahuzunisha sio hawa wa sasa..Atleast nyimbo ya kondegang na msechu wamejitahidi.
 
Yaani miaka nenda Rudi wameshindwa kabisa kufuta legacy ya GK na TID Ile Ngoma Yao ya maombolezo ndio Ngoma Bora ya maombolezo ktk mziki was bongo fleva kwa wakati wote
Walimuimbia kiongozi gani??
 
Enzi za kutukuza mtu katili zimepita tofauti na wanavyodhani. Baada ya miaka michache nobody will give a fxxx about hayati!
 
Back
Top Bottom