Madee amekufuru!

Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.
 
achan nao hawa vijana wa blah blah mi nakupenda kama peremende...huku wameshika kwenye naniii zao na suruali inadondoka....pearl anasemaga generation Y
 
Wasanii wetu wanhitaji msaada wa editors wa kazi zao!!! wako wengi wanaimba maneno ya ajabu na inatia simanzi zaidi wakichanganya na mambo ya imani
 
Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.
hahahaaaa! hii imakaa njema......inawaelezea kwa uzuri hawa Generation -Y
 
hii ndio shida ya kutunga mistari wakati unatoka kupata marijuana, kila kitu unaona kinafaa kusema
 
Huyu kijana nina mashaka sana na elimu yake, exposure yake, watu wanaomzuka, mazingira aliyokulia na historia yake.
Lazima tukiyazingatia hayo tutagundua kuwa huyu ni nyani ng'ombe ndani ya mwili wa mwanadamu.
Hana nidhamu, kama hawezi kuheshimu wengine basi hawezi kujiheshimu hata yeye mwenyewe.
Huyu ni mwehu punguani.
 
Nimesikia eti amekulia Manzese,
amesoma primary school manzese, na hupendelea kushinda Manzese.
Hata hivyo Manzese wapo wastaarabu wengi tu ila yeye kampani yake ni
wavutaji wa ile sigara inatoa moshi mzitoo, mkalii.
 
Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.

Afande Sele alishatutahadharisha hapo kabla! Kasikilizeni "Darubini"
 
Huyu kijana nina mashaka sana na elimu yake, exposure yake, watu wanaomzuka, mazingira aliyokulia na historia yake.
Lazima tukiyazingatia hayo tutagundua kuwa huyu ni nyani ng'ombe ndani ya mwili wa mwanadamu.
Hana nidhamu, kama hawezi kuheshimu wengine basi hawezi kujiheshimu hata yeye mwenyewe.
Huyu ni mwehu punguani.
Kiranja Mkuu,
polepole mkuu! Najua hukupendezwa na hiyo tungo ya kijana. Hakika amekosea kujilinganisha na Yesu katika mateso yake. Msamehe bure. Yawezekana ni upungufu wa elimu, nk. Kama mwingine alivosema hawa vijana wanahitaji kuwa na wahariri wa tungo zao. Vinginevyo watafanya madudu mengi tu na hata kuwakosea watu katika nyimbo zao. Tena mambo ya dini/imani ni very sensitive. Wanapaswa kuwa waangalifu.
 
Sikulijua hilo.
Sigara zenyewe zinahatarisha kabisa ubongo, hasa ukivutia gazeti lilotoka kufungiwa vitumbua.
Basi , ndio maaana yeye kajiona yuko sahihi kabisa na wala nafsi yake hamsuti hata kidogo.
Ila tatizo haliko kwake peke yake, ila hata kwa produza aliyeutengeneza huo wimbo.
Angeweza kumshauri kubadili mistari au angemwambia aende studio nyingine.
 
Misanii mingine inaimba ili mradi ipate vina.
Mf. kuna kundi flani waliimba.."MUNGU SI ATHUMANI WALA DEFAOO....BABA JENI ALIPOPATA MAFAOO...
Yani ilimradi tu.

yaani alimradi vina vifanane
kwao content ya ujumbe kwenye muziki si muhimu........
hovyo hovyo tuuuu!!!
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Taratibu usije vunja batani izo......nakumbuka sijui ni karamgi yule kwenye sakata la richmond naye alijifananisha na Yesu....mwingine ni afende zombe nae kwenye kesi yake ivyo ivyo!!
 
Madee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.

Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.

Madee amekufuru.
Its a BLASPHEMY!!!!
 
Sikulijua hilo.
Sigara zenyewe zinahatarisha kabisa ubongo, hasa ukivutia gazeti lilotoka kufungiwa vitumbua.
Basi , ndio maaana yeye kajiona yuko sahihi kabisa na wala nafsi yake hamsuti hata kidogo.
Ila tatizo haliko kwake peke yake, ila hata kwa produza aliyeutengeneza huo wimbo.
Angeweza kumshauri kubadili mistari au angemwambia aende studio nyingine.
Alafu na yeye apate wapi mkate wake?prodyuza nao binadamu wana matumbo na wanahitaji kula!!
 
huyu nadhani siku nyingine ajaribu kujilinganisha na ya mtume wa upande wake,nadhani atapigwa mawe mpaka afe,ustaarabu unamshinda dogo
 
Taratibu usije vunja batani izo......nakumbuka sijui ni karamgi yule kwenye sakata la richmond naye alijifananisha na Yesu....mwingine ni afende zombe nae kwenye kesi yake ivyo ivyo!!

wajaribu hii hapa siku nyingine waone joto yake Kimey................

huyu nadhani siku nyingine ajaribu kujilinganisha na ya mtume wa upande wake,nadhani atapigwa mawe mpaka afe,ustaarabu unamshinda dogo
 
sawa inawezekana hivi wanajamii hakuna watu wanaoteseka mateso zaidi ya huyo yesu acheni utani bwana musilete udini kama vipi tembeleeni maohospitals
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom