MaDED Siha na Rombo hawatoshi . Hawamheshimu wala kumsikiliza RC na RAS Kilimanjaro

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Hawa Wakurugenzi wa hizi Halmashauri mbili , Rombo na Siha hawatoshi kabisa.

Hawaziheshimu mamlaka za juu hasa RC na RAS wao.

Wamekuwa na kauli kwa wakubwa zao kwamba " Wote tumeteuliwa na Rais, tusisumbuane ".

Hawamheshimu RC, Anna Mgwira eti kwa kuwa aliteuliwa akitokea upinzani.

Huyu DED wa Rombo ana jeuri sana na kauli nzito kwa mamlaka za juu yake.

Wanalalamikiwa mengi sana hawa maDED!

Tusaidie Mh. Rais wetu mpendwa !

Tunakutegemea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RC KLM ni mwanamke, DED Rombo ni mwanamke, huko Siha ni mwanamke japo sina hakika. Kule Kagera yule DC na DED wote ni wanawake. Hawa wanawake wanagombana hawaelewani.

Wanawake mnapendana??
 
Hawa Wakurugenzi wa hizi Halmashauri mbili , Rombo na Siha hawatoshi kabisa.

Hawaziheshimu mamlaka za juu hasa RC na RAS wao.

Wamekuwa na kauli kwa wakubwa zao kwamba " Wote tumeteuliwa na Rais, tusisumbuane ".

Hawamheshimu RC, Anna Mgwira eti kwa kuwa aliteuliwa akitokea upinzani.

Huyu DED wa Rombo ana jeuri sana na kauli nzito kwa mamlaka za juu yake.

Wanalalamikiwa mengi sana hawa maDED!

Tusaidie Mh. Rais wetu mpendwa !

Tunakutegemea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kuchukua makada walioshindwa kura za maoni na watoto wa chipukizi kuwapa vyeo vya utaalamu.
DED DAS RAS hutokana na utumishi wa umma afisa mipango au mkuu wa idara kupanda cheo
 
Hawa Wakurugenzi wa hizi Halmashauri mbili , Rombo na Siha hawatoshi kabisa.

Hawaziheshimu mamlaka za juu hasa RC na RAS wao.

Wamekuwa na kauli kwa wakubwa zao kwamba " Wote tumeteuliwa na Rais, tusisumbuane ".

Hawamheshimu RC, Anna Mgwira eti kwa kuwa aliteuliwa akitokea upinzani.

Huyu DED wa Rombo ana jeuri sana na kauli nzito kwa mamlaka za juu yake.

Wanalalamikiwa mengi sana hawa maDED!

Tusaidie Mh. Rais wetu mpendwa !

Tunakutegemea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
DED wa Rombo ni mrembo huyo mwacheni apendezeshe wilaya, pia alikua hajawahi kufanya kazi popote so hajui protocol wala desturi za ofisi
 
Back
Top Bottom