Hizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.View attachment 2047255View attachment 2047256View attachment 2047257View attachment 2047259View attachment 2047260
Sio kichuri au michembe mkuu!Pishi la wacheza bao!!??🤣
Sio kichuri au michembe mkuu!
Ukipata mke anaekupikia kama hivi, kila ukitaka kuchepuka unahisi kama anakuona!Hizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.View attachment 2047255View attachment 2047256View attachment 2047257View attachment 2047259View attachment 2047260
Huo mchuzi unaweza kufunga kwenye gazeti, ndo Cha ajabu hapo.
Kwamba Makabila mengine hawawezi??.Huo mchuzi unaweza kufunga kwenye gazeti, ndo Cha ajabu hapo.
HAWAWEZI Mkuu
Safiii sanaHizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.View attachment 2047255View attachment 2047256View attachment 2047257View attachment 2047259View attachment 2047260