Made in Kenya - Pro Carve m3500 A series CNC Wood working Machine at PROTEQ automation

Hii ni nchi ya viwanda sio viwonder 4,000 kama wenzetu.
 
Safi sana, ubunifu wa aina hii ndio unahitajika nchini Kenya. Yaani ukisikia Proudly Made in Kenya iwe ni 100% hadi kwenye ujuzi na teknolojia, .
 
Msalimie king kaka, mwambie namkubali sana toka pande za +255
King Kaka yupo anakula bata licha ya kuwagusa kidevu wanasiasa.
Vipi kwenu huko mbona tunasoma mambo ya hatari kwenu, kwamba jamaa alitekwa na wasiojulikana, kisha polisi wakasema wanaye wao ndio walimkamata, baadaye wanakana kwamba sio kweli na hawakumkamata.
 
Ngoja nifatilie mkuu ntakujuza, ila hata kwenu yapo hayo, kuna kipindi nilikuwa namfatilia ahmed ali nae alikuwa anatupatia yaliyofichikana
 
Ngoja nifatilie mkuu ntakujuza, ila hata kwenu yapo hayo, kuna kipindi nilikuwa namfatilia ahmed ali nae alikuwa anatupatia yaliyofichikana

Ujuha wa kihvyo haujatendeka kwetu, yaani mapolisi yenu yanatofautiana, huyu anasema hivi yule anasema vingine, msipokua makini hao mapolisi watagawanyika vikundi huko.
Huku kuna kipindi tuliishi kwa katiba mbovu iliyosabaisha tupitie mnayopitia leo hii.
 
Hivi ndo vitu ambavyo wanafunzi wa engineer wanaofanya masters na PHD wanafaa wawe wanaunda kama project ya shule alafu baada ya hapo wanatafuta mfadhili ... Kenya ingekua tuko mbali sana
 
Back
Top Bottom