MaDC na maRC msituchagulie Mwenyekiti UVCCM taifa

KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
150
Inasikitisha sana kuona baadhi ya wakuu wa wilaya na mkoa wameamua kwa dhati kabisa kuingia mstari wa mbele kuwapigania wale wanaowataka.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshana na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndg Antony Mtaka wameamua kwa dhati kumsaidia Kheri Denis James Mgombea uenyekiti UVCCM Taifa.

Tafsiri yake mwenyekiti wa kukumbatiwa na vigogo hawezi kusimamia maslahi ya vijana badala yake watu watamuongoza....

Ningeshauri hawa watumishi wa umma na wateule wa Mhe Rais Dkt Magufuli wajiweke mbali na mchakato huu kwa kuwaunga mkono baadhi ya wagombea kwani yeyote atakayeshinda watafanya naye kazi.
3ce9d9390ed060e6ed540dee3ba8aafc.jpg
 
Chajo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
317
500

Zikaneni wenyewe usituletee mambo yenu huku.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom