Madawa ya kulevya,nyara za serikali ambazo hukamatwa uwanja wa ndege Dsm,hupelekwa wapi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Serikali ya awamu ya 5 imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kukamata madawa ya kulevya na nyara mbalimbali za serikali hasa uwanja wa ndege Dsm, nyumba za kulala wageni, mipakani nk. Mizigo hiyo ni kama:-

1. Bangi
2. Mirungi
3. Heroin
4. Cocaine
5. Tumbili
6. Kobe
7. Vyura
8. Vifaranga vya kuku

nk nk.

Swali langu: Ni wapi hivi vitu hupelekwa baada ya kuwakamata wabebaji na kuwafikisha mahakamani au jera?
 
Back
Top Bottom