Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 996
- 491
Kawa teja
Imepungua vipi na juzi imekamatwa meli nzima ya Tanzania huko ughaibuni?JPM kawachakaza hawa wauza unga. hata ukiangalia takwimu za vijana wanaokamatwa nje ya nchi imepungua sana.
bravo JPM.
Imepungua vipi na juzi imekamatwa meli nzima ya Tanzania huko ughaibuni?
Makonda alishughulikia Zaidi Dar, huko Moro hana mamlaka napo ki vile.Huwa najiuliza mbona Makonda alijitananmbaisha kuwa Amethibiti Madawa ya Kulevya Mimi niko Morogoro Mjini Njoo maeneo ya Msamvu Stand/ITIGI jina Maarufu Kuna mateja wa kumwaga wanayatoa wapi? Nenda MANZESE ya Morogoro wapo Mateja Kibao Tena ni wakabaji Balaaa! Njoo tumbaku Kwenye Mataa Pia nikituo Cha Maroli ya Michanga Tuna mateja kibao Tena wapo Live Na Polisi wanawajua Wananunua Wapi? Hizo ni Sehemu ninazozijua Au ilikuwa ni Mbinu za kuwazalilisha watu huku wahusika wakiachwa Pembeni.
Halafu nchi haijengwi na serikali pekee Bali hata wewe unaweza kusaidiaMakonda alishughulikia Zaidi Dar, huko Moro hana mamlaka napo ki vile.
Ni jukumu lenu sasa, kwenda kureport hivyo vijiwe unavyovitaja ili wadhibitiwe.
Hili ni kaburi la kufukua maana kama ni kweli ukishakula nyama ya mtu huachi kwani hata ukitaka kuacha waliokualika watakutishia usiache ni kama kujiunga free mason.Mtandao wa KenyanTalk umetaja orodha ya wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya aina ya heroine kwa Afrika Mashariki. Orodha hiyo inajumuisha viongozi wakubwa wa kisiasa kutoka Kenya na Tanzania ambao wanatajwa kuingiza na kusambaza "heroine" katika nchi nyingine za EAC. Watu hao wanaodaiwa kuwa ni magwiji wa mihadarati aina ya heroine ni:
1.Rais Uhuru Kenyata (KE)
2.Gavana wa Mombassa Ali Hassan Joho (KE)
3.Mfanyabiashara na mbunge wa zamani Harun Mwau (KE)
4.Seneta wa Nairobi Mike Sonko (KE)
5.Gavana wa Kiambuu Wilium Kabongo Gitau (KE)
6. Mtoto wa Rais Mstaafu Ridhiwani Kikwete (TZ)
7.Waziri Mwigulu Nchemba (TZ)
8.Waziri mstaafu Juma Kapuya (TZ)
9.Balozi Emanuel Nchimbi (TZ)
Inaonyesha kuna kitu unafahamu, tujuze. Mada ya pili hii kuhusu madawa umeifufuaInatosha sasa kusema kweli