Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

wewe uko mwezi mmoja nyuma. ni dhahri RC Daudi A. Bashite (DAB) hana wajibu wa kisheria kushughulikia hilo suala la madawa ya kulevya. Yeye anaweza kushughulika na "madaraka ya kulevya"
 
Fedha za dawa za kulevya lazima zikauke dar.

Mtarudi kijijini

Shame on them, mmeuwa Sana Vijana wetu.
 
Mimi Nipo upande mmoja na magufuli na makonda. Najua hizi zilikuwa kelele za wauza unga Sasa wajue Mwisho Wao umewadia
 
Fedha za dawa za kulevya lazima zikauke dar.

Mtarudi kijijini

Shame on them, mmeuwa Sana Vijana wetu.
i wish ungenifahamu ni wapi na vipi ninavyoishi eg kazi na kipato changu. situmii wala siuzi dawa za kulevya. nishazika ndugu kadhaa kutokana na matumizi ya dawa za kulevya so nayachukia haswa. kutumia vita ya dawa za kulevya as shield, hakutamsaidia hata nusu dakika. ana options tatu tu kuondokana na hii kadhia;(1)ajibu tuhuma maana tuhuma hujibiwa kwa tuhuma sio kama hii mipasho yenu na ajibu kwa kuonyesha cheti chake cha form 4 kisha tuone kama alikuwa na sifa za kuenxelea na masomo NA atolee ufafanuzi wa uvamizi wake studio, (2)kama hana cheti yaani alighushi, basi AJIUZULU na (3) atumbuliwe. Mnapomtetea na anapozidi kukaa ofisini mabaya zaidi yanaibuka/yanaibuliwa ambayo yanachafua chama, JPM na Bashite mwenyewe. Kwa sasa Bashite hayupo vizuri kabisa kisaikolojia na nafikiri atazidi kutenda jinai na kama kweli mnampenda Bashite muombeni ama ajiuzulu au atumbuliwe
 
Wana jamvi leo nimetafakari sana baada ya matukio yanajitokeza kwenye nchi hii lakini kubwa ambalo linanifanya kuandika uzi huu ni
Tuhuma za kutangaza hadharani majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya iliyokuwa inatolewa na mkuu wa mkoa wa Dar
Kumbe naanza kuamini kuwa ni fake kwa sababu mkuu wa mkoa alikuwa na sababu zake kufanya hivyo
Nashawishika kusema hivyo kwa sababu kilichojitokeza clouds studio usiku baada ya kuvamiwa na kukataa kutii Amri ya mvamivizi alitoa kitisho kuwataja kwenye orodha ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya sasa tumeanza kupata picha kwa nini GSM na Nàs kumpa magari ya kifahari nawakilisha.
 
Duh!
 
Malipo yake atayapata hapa hapa duniani wala sio kokote
 
Kwa kifupi kabisa.Ili makonda apate uhalali wa kujitetea kupitia vita ya madawa ya kulevia,atuambie au fikirieni toka kaanza vita yake.Ni nani yupo mahakamani kwa tuhuma za kuuza?Kati ya aliowataja"Na hata kama yupo.Yupi alikamatwa na mzigo?Wooote,Aliishia kusema anatumia au alikuwa anatumia.
Asanteni!
 
Makonda amewashinda nguvu wauza madawa ya kulevya na kila propanganda yao, juu yake imeshindwa vibaya.

Wamejaribu kuzuia Makonda asiripotiwe na vyombo vya habari wakashindwa.

Wamejaribu kumfanya Makonda achukiwe na wananchi wakashindwa.

Wamejaribu kushinikiza afukuzwe kazi wameshindwa

Kwa hiyo Makonda kwa wauza madawa ya kulevya ni kama Maji,
Wasipomunywa, watamuoga,

Shame on them wauza ngada.
 
Pointless
 
Subiri matusi yao sasa. Makonda ni mtu maarufu tayari..huwezi ukaishi bila kumutaja hata kijiweni kwenu. Mara bashite mara makonda.
 
Dah.... Polepole bana
d1ffd1007ac8db143e88b95f57788ee0.jpg
 
56 Reactions
Reply
Back
Top Bottom