Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,858
Katika hali isiyo ya kawaida,vijana watumiaji wa madawa ya kulevya maarufu kama Mateja wameiomba Serikali iwasaidie kupata madawa ya kulevya ili wapate nafuu.
Imeripotiwa katika gazeti la Mtanzania la leo kuwa madawa ya kulevya sasa hayapatikani kwa urahisi na yanapopatikana bei yake imepanda maradufu. Pia,wauzaji hawawauzii wasiowajua.
Mtanzania limetoa mfano wa bei ya kete kupanda kutoka 1000-2000 hadi 3500 na zaidi. Hakika,vita dhidi ya madawa ya kulevya imefika patamu.