Madawa ya kulevya: Jackie Chandiru, yule black Beauty wa kundi la blue 3 la uganda, yupo hoi

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,538
11,868
jackie chandiru wa lililowahi kuwa kundi la mziki la blue3 nchini uganda yupo hoi kiafya kutokana na matumizi ya dawa za kulevya.

jamii ya waganda inaombwa kumsaidia ili kurejesha upya afya yake.
habari nzima ipo youtube.

Screenshot_2019-10-12-11-08-34-445_com.google.android.youtube.jpeg
 
Alikuwa anafanya poa sana... madawa yamemuharibu vibays
 
Back
Top Bottom