Madawa ya kulevya hayafai, Daz Baba leo na jana

MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
518
613
Tatizo la baadhi ya wasani kufikia kwenye kiwango hiki ni matokeo ya kukata tamaa kwa kudorora shugli zao za sanaa, bila kukumbuka kuwa mbali na Sanaa kuna kazi nyingine wanaweza kufanya na zikawaingizia kipato zaidi ya hiyo sanaa
d0c73851630c4b7261431a0ac23bdc3b.jpg
bbd3c3798d81cc2d97e722e9fb7f8826.jpg
11b46d9ec903fb4731bab552701e2296.jpg
 
Anakula faida huyo, watu wa dar wanashida maana unga unapatikana mtaani Sana, huku mikoani ni ganjaa na hamna anaeporomoka au kuchoka hivyo
 
Nakumbuka Afande Sele alisema Daz hatumii Unga isipokuwa Bangi sana na Viroba mbaya zaidi msosi ni wa manati. Na ndio maana anakuwa hivyo.

Ila Kiukweli Jamaa hana mwili tangu zamani.
 
jana nmepita ubungo mataaa nimemuona teja waziwazi anajidunga.. najiuliza mtu kama huyo akikamatwa ataje alipopata huo unga utakuwa mwanzo mzuri.
 
kama uliuona muhadhara wa jana ITV utajua kumbe madawa ni janga kubwa linaloitafuna DUNIA.....unga umekuwa chanzo cha vijana kushindwa kuisaidia jamii yao.....mkulu si asimamie hili swala mana imekuwa tatizo kubwa
 
washikaji walikuwa wakija kunigongea night kali,kamanda amka twende tukausake utajiri,hata kwa njia zile ambazo sio halali,nikakubali,nikawa silalii...
dash enzi hizo,m beat wa mheshimiwa majani.hatari sana
Jamaa alikuwa bonge la kipaji, ni zaidi ya Feruzi
 
Jamaa ni Mbena wa Njombe ila sembe imembadilisha kawa kama msomali wa kwenye movie ya Captain philips
 
jana nmepita ubungo mataaa nimemuona teja waziwazi anajidunga.. najiuliza mtu kama huyo akikamatwa ataje alipopata huo unga utakuwa mwanzo mzuri.
Mapusha wote wanajulikana police post
 
Back
Top Bottom