Madawa ya kulevya: Esther Bulaya ajilipua bungeni, asema siasa hazitakiwi

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Tusifanye siasa kwenye vita hii ya madawa ya kulevya, tusimuongopee Rais kwa kutaka kuhakikisha vyeo vyetu tumwambie ukweli, ili kumsaidia Rais anapaswa kumteua kamishina wa hii tume maana tangu tulipopitisha sheria hiki chombo hakina kamishna, tutakapo hakikisha hicho chombo kinapata kamishna kwa kumsaidia Mhe. Rais tutakamata wale wanaoingiza dawa za kulevya wale mapapa na si hao wanaokamatwa sasa hivi" alisema Bulaya
Mbali na hilo Mbunge Ester Bulaya amesema kuwa hawa watu wanaokamatwa saizi wanapaswa kupelekwa mahospitali kupata matibabu na si vinginevyo kwani hao ni waathirika wa dawa.

"Mdogo wangu Makonda akitaka kupambana na dawa za kulevya aende magerezani akakutana na kina mama Reyla watamwambia mapapa wa madawa ya kulevya, ili tuungane pamoja na tunamkaribisha katika hili lindi kuhakikisha nchi yetu inapambana vikali dhidi ya madawa ya kulevya, kwa sababu mimi mwenyewe nina mdogo wangu anayenifuata yupo

Mwananyamala anakunywa dawa methadone, hivyo ninachokisema nina uchungu nacho kwa kuwa nimekifanyia utafiti wa kina" Ester Bulaya
 
Mbunge wa Jimbo la Bunda Ester Bulaya, asema siasa hazitakiwi kuingizwa kwenye mapambano dhidi ya madawa ya kulevya, hivyo ni vyema Raisi akashauriwa vizuri.
Anatoa ushuhuda mdogo wake ni mtumiaji wa madawa ya kulevya yupo mwananyamala pale
 
Actually,watumiaji ni wengi na ni ndugu zetu,sishangai kusema vile. Kubwa ni kubana waingizaji na wauzaji! Pia definition (maana ya neno)dawa za kulevya iwekwe bayana. Kuna vijana inasemekana wanamix petroli na rangi fulani hivi,wananusa na kulewa! Haya nayo yaangaliwe kwa pamoja.
 
Petrol na gundi mkuu ila ni style ya kizamani enzi zetu hii ndio ilikuwa inatumika sana
 
Back
Top Bottom