Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.

Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.

Source: Radio One

Maendeleo hayana vyama!
 
Naona mnahangaika Sana na Madaraka Nyerere mnataka kutuaminisha kwamba Madaraka ni Kamanda Mwenzenu, kifupi tu haya maigizo sio ya Kwanza kwa Chadema kutaka kutuaminisha CCM imechokwa na Watanzania wengi ikiwemo familia ya Baba wa Taifa, Nakumbuka Mwaka 1995 Makongoro Nyerere alikuwa upinzani wakati huo Baba wa Taifa hajatuacha lkn Chama Cha Mapinduzi kiliendeleakushika hatamu.

Tafuteni Kiki nyingine acheni kutuletea story za level ya Shule ya Msingi, Watanzania tuliowengi hasa Wanyonge kwa sasa tunakihitaji Chama cha Mapinduzi kutuletea Maendeleo ya kweli sambamba na kutuondolea fikra za Kibeberu.
 
Wawajali kivipi? Nyerere ndiyo alitafuta uhuru peke yake au watanzania wengine hawana mchango ni Nyerere pekee?
Nawashangaa Sana Hawa watu kuna Mzee wangu anaitwa Bilal Rehan Waikela(97) yuko pale Tabora Mwl Nyerere alifikia nyumbani kwake katika harakati za kudai uhuru ametoa mchango mkubwa kwa Nchi kupata uhuru,lkn anaishi kwenye Nyumba ya Tembe badala tuhangaike na Wazee Kama hawa unatuambia serikali iwatunze akina Madaraka Nyerere watu waliokula Bata muda mwingi Ikulu kweli Jambo usilolijua ni Kama usiku wa giza.
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.

Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.

Source: Radio One

Maendeleo hayana vyama!

Tunamtakia mapumziko mema shukrani za kipekee kwa Wajumbe
 
Hivi kwanini jiwe ameshindwa kuwapa hata uwongozi wa kuwa wakuu wa wilaya ama mikoa? Kwanini ameamua kuwatelekeza familia hii!
 
Anajua kuwa chama cha mapinduzi kinakwenda kupimzishwa oct 28.

Anataka kupumzika awaachie akina chakubanga harakati.
 
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.

Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.

Source: Radio One

Maendeleo hayana vyama!
Kazi ya kufuga Tausi imentinga sana hivi alikuwa mwanasiasa wa wapi wakati kura za msomi alipataga 3
 
Wawajali kivipi? Nyerere ndiyo alitafuta uhuru peke yake au Watanzania wengine hawana mchango ni Nyerere pekee?
Sio kwa ajili ya kutafuta uhuru tu bali kwa utumishi wa muda mrefu ulioacha alama.
Wanastshili;

1. Wakati baba yao akiwatumikia Watz kuna vitu wao ksma watoto hawakuvipata kama watoto mfano muda wa mwingi wa kukaaa na baba yao. Sababu alikuwa busy kulitumikia taifa, hivyo wanastahili mafao ya kazi ya babao yao.

2. Kwa heshima ya taifa hiyo familia haistahili kuishi kifukara ni aibu ya taifa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa ndg umenena vema
 
Back
Top Bottom